Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

Mkasi_kipindi bora kwani hadi huku namtumbo tunakijua.

Salama jabir hadi huku tunamjua.

Mzee majuto anajulikana kuanzia mbamba bay hadi mpakani silari.

Mbwana samata pia.

Hao wengine hawajulikani hata kibaha

Kwenye Mkasi na Salama J mie nimekubali kabisa wamenishawishi...kwa Wachezaji pia wamenishawishi...kwa waigizaji bado hawajanishawishi naamini. king majuto na Joti ndio waigizaji wanaopendwa zaidi kibongobongo.
 
Kina Fred wakajipange upya otherwise wameanza vibaya...inawezekana hawajafanya uchakachuaji ila uhenda kuna kikundi cha watu kilijioganaiz kujipigia kura na kuharibu kabisa maana ya hizo tuzo..Haiwezekani na haiingii akilini kusema presenter anaependwa zaidi akawa Vanessa Mdee yani kuna vitu ata ukifoji vinakubalika ila hii inagoma kabisa..Ata kwa Dsm haipo iyo kuna kina chizi Zembwela na SuperMix yake pita mtaani mida flani usikie, kuna kina Dida wasituambie Hitlist inasikilizwa kuliko Mitikisiko ya Pwani cha timesfm kwa Dsm,kuna SportExtra cha kina Mbwiga..Bongo5 wameanza vibaya.
Hahaha yani hapo kwa Vannesa wamebugi kabisa.
Kwanza hiyo radio anayo tangaza nani ana isikiliza?

Lakini si nasikia hii bongo5 ina uhusiano na mawinguu?
 
Kwenye Mkasi na Salama J mie nimekubali kabisa wamenishawishi...kwa Wachezaji pia wamenishawishi...kwa waigizaji bado hawajanishawishi naamini. king majuto na Joti ndio waigizaji wanaopendwa zaidi kibongobongo.
Mkuu matumbo hawa jamaa walijifungia chumbani na kuweka majina, na mengine yamewekwa geresha tuu.
Wange waacha wananchi wapendekeze alafu ndio waone.
Hivi kweli super mix inaweza kukosa category?
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni tunzo za wasikillizaji wa Dar sisi wa huku Ileje watangazaji wengi na redio zao hatuwajui.
hahahaha
Mkuu eti umeshawai kumsikia vannesa Mdee akitangaza na ana mashabiki kwa sababu ya kutangaza?
 
Enheee...nipo hapa kupokea maoni.....taratttttttiiiiibu......hiiiihiiii...
 
hivi salim kikeke kumuweka kwenye tuzo hizi uchwara si ni kumvunjia heshima? atoke london kuja dar kufuata one million? this is big joke.
 
Naona hizi tuzo zinawahusu wahuni wahuni tu, Vanesa anafahamika dar na chalinze tu kama mtangazaji.
Mbona kama redio anayotoka ina sura ya kimkoa tu kiasi cha kukimbizwa vibaya sana hata na Ebony ya kule Iringa.
 
Rufiji,

What is the point of having a balance government based on religion if it is not effective? why fear that if one group is majority then they have an advantage?

Bottom line we are repeating the same nonsense by bitching about religion the same way it done after independence and continued in the past 3 administrations.

It is time to move one and think progressivelly and ask if these apointees can deliver! The foundation of our success is based on efficiency and effectivenes of those who are empowered to run things and not political or religious affiliation.

Kumvunjia heshima sio kuja kufuata mil 1.bali wamemuweka na nani??
 
Kama umeniwahi...hata mie nilitaka kuhoji huu mtindo wa kuiangalia Tanzania nzima kupitia Dar....huu ni unyanyapaa...ni bora mngeziita tuzo za wana Dar.

Kwa mfano huku mikoani huyo Vanesa tunamtambua kama mwanamuziki...sasa kuja kutuambia tena ni mtangazaji na amequalify kugombea tuzo kwa sura ya nchi nzima...mmmmh, ni usanii wa kuburuza wanainchi wa mikoani.

Mjipange...fanyeni kwanza utafiti kujua tv na redio zinazoonekana sehemu kubwa Tanzania...otherwise endeleeni na tuzo zenu ila muziite Tuzo za wana Dar.

Huyo Vanesa mdee na Feza Kessy ni mashost wakubwa wa Utotoni na Mdogo ake Nancy, Patra Sumari. Naona Naye anataka kuleta usanii hivi Choice fm ina wasikilizaji wengi kushinda kiss fm kwa redio za Kiingereza Bongo hii. Wizi mtupu
 
Usanii mtupu Nacy naona anaturetea uarusha na majirani zake huyo Feza nae kaimba nn labda.
Leo ndio mara yangu ya kwanza kujuaa kuwa Feza ana pendwa kwa huo wimbo daa hizi tuzoo
 
Huyo Vanesa mdee na Feza Kessy ni mashost wakubwa wa Utotoni na Mdogo ake Nancy, Patra Sumari. Naona Naye anataka kuleta usanii hivi Choice fm ina wasikilizaji wengi kushinda kiss fm kwa redio za Kiingereza Bongo hii. Wizi mtupu
Daaa nimeshangaa mtangazaji wa radio kama chice kuwekwa kwenye category alaf radio kama Radio one,RFA,Capital na EARADIO kukosa category
Alaf hapo heti kwenye category ya vipindi vya radio heti vya Clouds tuu ndio vinapendwa.haahahaha kuna vipindi kama Super mix(EARADIO ,kumepambazuka(radio one)
 
Naona hizi tuzo zinawahusu wahuni wahuni tu, Vanesa anafahamika dar na chalinze tu kama mtangazaji.
Mbona kama redio anayotoka ina sura ya kimkoa tu kiasi cha kukimbizwa vibaya sana hata na Ebony ya kule Iringa.
Hahahaha hapo kwa Vannesa kwakweli wame chemsha.
 
Hivi ni kweli video ya muziki gani imeishinda video ya nje ya box weusi?

Alaf kama naona Salim keke na Godwin Gondwe walifaa kutengenezewa category yao kabisa
 
Leo ndio mara yangu ya kwanza kujuaa kuwa Feza ana pendwa kwa huo wimbo daa hizi tuzoo

Hahaha kweli Bongo bado tuna atua ndefu sana kwenye haya mambo. Sometyms its better tukakaa kujipanga sio kila kitu tuige vingine tujifunze kwanza.
 
Daaa nimeshangaa mtangazaji wa radio kama chice kuwekwa kwenye category alaf radio kama Radio one,RFA,Capital na EARADIO kukosa category
Alaf hapo heti kwenye category ya vipindi vya radio heti vya Clouds tuu ndio vinapendwa.haahahaha kuna vipindi kama Super mix(EARADIO ,kumepambazuka(radio one)

Hahaha bora hata wangeweka taarifa ya habari tena ya RTD maana hiyo ndio inapendwa zaidi vijijini na hadi wazee lol!
 
Hahaha yani hapo kwa Vannesa wamebugi kabisa.
Kwanza hiyo radio anayo tangaza nani ana isikiliza?

Lakini si nasikia hii bongo5 ina uhusiano na mawinguu?

Awa jamaa wamechemka sana..hii bongo5 sina uhakika ni ya nani haswa ila wahandishi wake wakubwa ni nawafahamu kuna Michael Bundala aka Sky Walker,kuna Kidbwoy na ni watu wanaofahamu vizuri sana ishu za media tena sana kwanza wameenda shule,na kikubwa wana exposure na experience nzuri na aya mambo sijui ni nini kimewasibu mpaka wanajitia aibu kiasi hiki...
 
mhhh kweli aise watu wanawanyenyekea hao mawingu mpaka basi ,tena hawa mawingu hawajafika hata level za tv1 au Dtv, Alafu hicho kipindi cha planet bongo wakitoe hapo
 
Mkuu matumbo hawa jamaa walijifungia chumbani na kuweka majina, na mengine yamewekwa geresha tuu.
Wange waacha wananchi wapendekeze alafu ndio waone.
Hivi kweli super mix inaweza kukosa category?

Bongo kuna tuzo za kueleweka moja tu,Kili Awards...wengine bado wanababaisha,tunaitaji sana mshindani wa hizi tuzo aje na kitu kizuri tofauti...iwe kama wenzetu kuna Oscar, Grammy, AMA nk ila kwa mwendo huu bora watulie tu wengine wajipange...ukitaja vipindi vinavyosikilizwa zaidi hapa bongo huwezi kukiacha SuperMix ata kwa bahati mbaya,mie sio mshabiki kabisa wa Zembwela ila kiukweli jamaa anasikilizwa sana mtaani..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom