Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,210
- 42,072
- Thread starter
- #101
Mkuu Ntakasi wewe unasema tusi chukulie serious wakati wao wanataka tuzichukulie hizo Tunzo serious ndio maana wamesema kuwa wamefanya hivyo baada ya maoni ya wananchi!Mi mwenyewe simfahamu....Ruta hizi tunzo si 'official' kama tunavyotaka ziwe..zina wenyewe....Maamuzi yao,Tunzo zao....usizichukulie serious kiviiike....ukikamata fursa...anzisha zitakazokidhi vigezo.
Sasa tuna uliza ni lini wananchi walitoa maoni hayo?
Last edited by a moderator: