Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,817
2,000
MAJINA YA KUWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA 2014 YALIYOPATIKANA KUTOKANA NA MAPENDEKEZO YA WANANCHI YA AWAMU YA KWANZA https://www.facebook.com/tuzozawatu...1736/255714701278871/?type=1&relevant_count=1https://www.facebook.com/tuzozawatu...1736/255714701278871/?type=1&relevant_count=1

1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA

1. Vanessa Mdee – Choice FM
2. Millard Ayo – Clouds FM
3. Hamis Mandi aka B12 – Clouds FM
4. Mariam Kitosi – Times FM
5.Ergon Elly – Mbeya Highlands FM

2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA

1. The Hitlist – Choice FM
2. Xxl – Clouds FM
3. Amplifaya – Clouds FM
4. Hatua Tatu – Times FM
5. Power Breakfast- Clouds FM
3. MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA

1. Salama Jabir - EATV
2. Sam Misago - EATV
3. Zamaradi Mketema- Clouds TV
4. Salim Kikeke – BBC Swahili
5. Gondwin Gondwe - ITV

4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA

1. Friday Night Live – EATV
2. Mkasi – EATV
3. Planet Bongo - EATV
4. Uswazi - EATV
5. Take One – Clouds TV

5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA

1. Juma Kaseja – Yanga
2. Mrisho Ngassa – Yanga
3. Mbwana Samatta – TP Mazembe
4. Ramadhan Singano – Simba SC
5. Francis Cheka6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA

1. Nisher
2. Adam Juma
3. Nick Dizzo
4. Mecky Kaloka
5. Jerry Mushala

7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIUME
1. My Number - Diamond
2. Jikubali – Ben Pol
3. Mirror – Baby
4. Love Me - Izzo Bizness f/ Barnaba & Shaa
5. Muziki Gani - Nay wa Mitego f/ Diamond

8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE

1. Amani ya Moyo – Feza Kessy
2. Closer – Vanessa Mdee
3. Sugua Gaga – Shaa
4. Yahaya – Lady Jaydee
5. Nakomaa na JIJI - Shilole

9. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA

1. Elizabeth ‘Lulu' Michael
2. Jacqueline Wolper
3. Shamsa Ford
4. Irene Uwoya
5. Wastara Juma

10. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA

1. Jacob Stephen aka JB
2. King Majuto
3. Vincent ‘Ray' Kigosi
4. Hemedy Suleiman
5. Salim ‘Gabo' Ahmed

11. FILAMU INAYOPENDWA

1. Foolish Age – Elizabeth Michael
2. Bado Natafuta – Salim Ahmed, Shamsa Ford
3. Shikamoo Mzee – JB, Shamsa Ford, Majuto
4. Ndoa Yangu – Kanumba, Wolper
5. Zawadi Yangu – JB, Irene Uwoya

Kupiga Kura Tembelea www.tuzozetu.com/vote au tuma sms ya neno TUZO kwenda namba 15678.
HIZI NI TUNZO ZINAZO ANDALIWA NA BONGO5 GROUP KUPITIA Bongo5 - The Hottest Blogs, News and Videos.
NA MSHINDI WA HIZI TUNZO ATAONDOKA NA TSH MILLION MOJA.
 
qn of sheba

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,230
1,250
Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,817
2,000
Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..
Aiseee?
 
Hahahahaa mimi hapo kwenye kipindi cha redio kinacho pendwa ndio wameniacha hoi sana.
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,364
2,000
Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..

Kama umeniwahi...hata mie nilitaka kuhoji huu mtindo wa kuiangalia Tanzania nzima kupitia Dar....huu ni unyanyapaa...ni bora mngeziita tuzo za wana Dar.

Kwa mfano huku mikoani huyo Vanesa tunamtambua kama mwanamuziki...sasa kuja kutuambia tena ni mtangazaji na amequalify kugombea tuzo kwa sura ya nchi nzima...mmmmh, ni usanii wa kuburuza wanainchi wa mikoani.

Mjipange...fanyeni kwanza utafiti kujua tv na redio zinazoonekana sehemu kubwa Tanzania...otherwise endeleeni na tuzo zenu ila muziite Tuzo za wana Dar.
 
Mkuu kabla hata ya kwenda mbali kilicho ni shangaza ni kusema heti Vannesa Mdee ni mtangazaji anaye pendwa daaaa hivi ni watu wangapi wana sikiliza na kumsikiliza Vannesa?

Alaf tukija hapo kwenye kuzifanya za dar hiyo nayo ni weakness kubwa maana kuna watangazaji wana pendwa mikoani huko na sijui wametumia vigezo gani?
Lakini hizi tunzo ukiziangalia zina lengo la
Kupromote clouds media.
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,364
2,000
Sina utafiti rasmi ila nina haki ya kuhoji...kama bunge nacho ni kipindi...basi sina shaka ndio kipindi kitakachokuwa kinaangaliwa na wengi kulinganisha na vipindi vingine, iweje kuachwa kwa kipindi kama Njia Panda-clouds, Sintosahau-Star Tv.......

Cha ajabu kuna vipindi kibao ambavyo kwa wengi ndio kwanza tuna/wanavisikia plus hao watangazaji wake.
 
Sorry......Sintosahau-RFA.....ingawa ni kama siku hizi wanakiharibu kwa kualika watu waongo wanaotunga matukio...wanakera sana na kupoteza mvuto uliokuwepo siku za nyuma.
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,364
2,000
Televisheni zinazoonekana sehemu kubwa kama sikosei ni-Star Tv, ITV, EATV, TBC 1 na Channel 10.

Redio zinazosikilizwa au kusikika pakubwa kama sikosei ni-RFA, Redio one, EA radio na Clouds (sina uhakika sana kuhusu capital redio)
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,817
2,000
Televisheni zinazoonekana sehemu kubwa kama sikosei ni-Star Tv, ITV, EATV, TBC 1 na Channel 10.

Redio zinazosikilizwa au kusikika pakubwa kama sikosei ni-RFA, Redio one, EA radio na Clouds (sina uhakika sana kuhusu capital redio)
Mkuu FYATU mimi na wewe tuko pamoja na hayo yote uliyo yasema yameonesha waazi hizi tunzo zina udhaifu mkubwa sana.

Na sijui wamefanya wapi utafiti na kuja na majibu hayo? Kwa mfano Mariam Kitosi ana julikana Dar tuu na pwani maana Times Fm ina sikika Dar na
Pwani tuu.

Kwa mfano nimeshangaa Super mix cha Zembwela kukosa category na hata radio one ni radio inayo sikilizwa na wengi Tanzania.
 
Last edited by a moderator:

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,817
2,000
Sorry......Sintosahau-RFA.....ingawa ni kama siku hizi wanakiharibu kwa kualika watu waongo wanaotunga matukio...wanakera sana na kupoteza mvuto uliokuwepo siku za nyuma.
Na nilitegemea kwa uhalisia Clouds Tv wasingeweza kupata category hapo maana EATV na ITV na STAR TV ndio wange tawala kwa mfano Vipindi kama Dira ya dunia(startv) na Malumbano ya hoja(ITV)
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
23,978
2,000
Hizo ni tunzo za wasikillizaji wa Dar sisi wa huku Ileje watangazaji wengi na redio zao hatuwajui.
 
serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
6,931
2,000
hahahaaaaa... eti mapendekezo ya wananchi...
hshaaaa... Vanessa mdee anajulikana wapi jamani?
 
matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,189
1,250
Kina Fred wakajipange upya otherwise wameanza vibaya...inawezekana hawajafanya uchakachuaji ila uhenda kuna kikundi cha watu kilijioganaiz kujipigia kura na kuharibu kabisa maana ya hizo tuzo..Haiwezekani na haiingii akilini kusema presenter anaependwa zaidi akawa Vanessa Mdee yani kuna vitu ata ukifoji vinakubalika ila hii inagoma kabisa..Ata kwa Dsm haipo iyo kuna kina chizi Zembwela na SuperMix yake pita mtaani mida flani usikie, kuna kina Dida wasituambie Hitlist inasikilizwa kuliko Mitikisiko ya Pwani cha timesfm kwa Dsm,kuna SportExtra cha kina Mbwiga..Bongo5 wameanza vibaya.
 
Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,636
2,000
Mkasi_kipindi bora kwani hadi huku namtumbo tunakijua.

Salama jabir hadi huku tunamjua.

Mzee majuto anajulikana kuanzia mbamba bay hadi mpakani silari.

Mbwana samata pia.

Hao wengine hawajulikani hata kibaha
 
matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,189
1,250
Zimekaa kimujinimujini na Clouds naona washafanya yao yani kusema Channel 10 na Star tv zinavipindi vibaya mpk vipigwe mweleka na tv ambayo tangu ianzishwe sisi wa mikoa isiyo na ving'amuzi hatujawah iona hiyo clouds tv.... Yaleyale tu tofaut majina. Nancy na mumewe Luca wakajipange upya..

Naona wanataka kumuweka kwa kulazimisha Vanessa mioyoni mwa watu...mimi binafsi namkubali sana Vanessa ila tukirudi kwenye ukweli bado hajafika hapo wanapotaka kumtundika...Eti Feza Kessy ana video inayopendwa kumzidi LadyJD mhh iyo video uwa inaonyeshwa wapi mpaka watu wakaipenda ivyo maana binafsi mie niliionaga YouTube sijawahi iona Tv yoyote bongo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom