Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,311
- 7,745
Dogo alikua mwanachuo akiishi temeke, siku Moja akielekea chuo, akiwa kituoni anasubiri usafiri, alikutana na bibi Mmoja, huyo bibi alionekana ni mtu wa busara.
Ndipoa alipo mhoji usafiri wa kwenda bagamoyo, alidai anaenda kuuza madini, baadae akaongezeka Mzee mwingine, ambapo wao walijifanya hawajuani.
Baada ya mazungumzo Mzee akadai kuuza madini soko analifahamu ikiwezekana awaitie tax, kweli tax ilikuja, kumbuka kwenye mazungumzo Yao dogo nae alikuepo, ina maana yule bibi alitaka amuunge dogo kwenye Hilo dili ili wapige wote hela.
Dogo akahaidiwa kukatiwa kifungu baada ya kuuza hio dhahabu, kweli tax ilifika iliyoitwa na huyo Mzee safari ikaanzia, lakini baada ya mazungumzo mle kwenye tax dereva akadai, anaujuzi na madini ayahakiki ili kama vipi ayanunue yeye, wakakubaliana milioni mia mbili na kitu, basi bhana dereva akasema waende benki akawape hiyo pesa.
Wamefika sehemu, dereva akadai ndo hapo sasa wanatakiwa wafumgue akaunti yule bibi akaanza kumuomba dogo hela kuwa atazirudisha, dogo alikwepa hiyo mitego akasema hana, bibi akataka kama dogo kwenye akaunti yake Kuna hela dogo akasema hana, basi dereva ikabidi ashuke, kwenda bank, bibi akamsihi dogo amfate dereva ili wasidhurumiwe, basi bhana dogo alipo taka kwenda akashauriwa awache simu na vitu vyake vyote, kweli dogo akaacha na kumfata dereva.
Baadae dogo hakumuona dereva, ikabidi aulize na penyewe akaambiwa hakujuwa na benki maneno hayo ni maduka tu ikabidi arudi kwenye gari, alipo fika kwenye gari aka Kuta gari iliyopo Haina tinted, kumbe ile gari Isha ondoka imekuja nyingine ila ina utofauti ni tinted ikizingatiwa plate number hajazi kariri, na imepaki kama aliyo iacha, hakujali akaanza kufungua mlango wa gari, haufunguki, kumbe mwenye gari anamchora tu.
Ndo kufika kianza kumpa kipigo watu kuja kumpiga kuwa ni mwizi. Jamaa akaanza kulia na MUNGU alijua ndo mwisho wa maisha.
Baadae alitokea mtu Mmoja akawaamua ndo kuacha kumpiga, akaondoka nae, jamaa akawa ameponea hapo.

Attachments
-
Screenshot_20260602-072220.jpg131.3 KB · Views: 11 -
Screenshot_20260602-072235.jpg124.2 KB · Views: 9 -
Screenshot_20260602-072236.jpg137 KB · Views: 10 -
Screenshot_20260602-072238.jpg138.3 KB · Views: 9 -
Screenshot_20260602-072239.jpg129 KB · Views: 8 -
Screenshot_20260602-072240.jpg119.4 KB · Views: 7 -
Screenshot_20260602-072241.jpg147.8 KB · Views: 6 -
Screenshot_20260602-072247.jpg137.3 KB · Views: 7 -
Screenshot_20260602-072248.jpg136.4 KB · Views: 9 -
Screenshot_20260602-072250.jpg106.5 KB · Views: 6 -
Screenshot_20260602-072251.jpg135.3 KB · Views: 8 -
Screenshot_20260602-072252.jpg123.5 KB · Views: 6