Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏

Nashukuru sana Dada, umepiga hatua kubwa sana ya maisha kuelekea furaha kama umelitambia hioli. Na Mungu akujaalie Mambo mema na furaha kwenye mahusiano yako.
 
Nashukuru sana Dada, umepiga hatua kubwa sana ya maisha kuelekea furaha kama umelitambia hioli. Na Mungu akujaalie Mambo mema na furaha kwenye mahusiano yako.
Barikiwa sana bro,na ikawe ivo
 
😂nimepitia mengi kufikia hapa cute....kuna mbwa na vicheche ila kondoo wapo pia
Hongera Kwa kumpata, mshikilie Kwa nguvu asikuponyoke....Kwa huduma ya ukungwi njoo pm🤣🤣🤣 uje na hela.
 
Hili bandiko liwekwe LAMINATION KUBWA SANA kwa endless use [emoji106]
 
Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.[emoji120]
Upweke sio mzuri.
Hongera kwa wanawake wote wanaoheshimu our presence.
Yaani anajisikia salama.
Kuna dada nimezaa naye.
Huwa Nampa pesa za kufanya mambo anayoyataka ili maisha yaendelee.
Lakini anaweza tafuta kitu na mkataba ataniita niingie Mimi.
Yaani ni Ile kuheshimu uwepo wa mwanaume pembeni yako.
Na sisi tunawapenda Sana.
 
We unafikiri singo maza hawapendi kuwa na waume zao? Shida ni sisi wanaume ndo hatupendi kuoa singo maza ni wanaume wenzetu wachache sana walio bahatika kulogwa ndo wameoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
giphy.gif
 
ooh haki sawa, ooh 50/50 ooh wanamake wafuate ndoto zao sio wanaume, a lot of nye nye nye ila ukweli hua upo ndani ya kila feminist kua mwanaume ni leader, provider and protector na hakuna HAKUNA siku mwanamke atakua sawa na mwanaume.
Ila we baba una gubu kama wamama wa vicoba waliocheleweshewa gawio. Yani mada imenyooka ila bado uko na gubu lako.
 
Upweke sio mzuri.
Hongera kwa wanawake wote wanaoheshimu our presence.
Yaani anajisikia salama.
Kuna dada nimezaa naye.
Huwa Nampa pesa za kufanya mambo anayoyataka ili maisha yaendelee.
Lakini anaweza tafuta kitu na mkataba ataniita niingie Mimi.
Yaani ni Ile kuheshimu uwepo wa mwanaume pembeni yako.
Na sisi tunawapenda Sana.
Barikiwa sana
 
Back
Top Bottom