Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 10,016
- 5,817
Leo mchana wakat naongea na mke wangu tukireflect mwaka 2022..Kuna kauli ameisema inaendana na hii ya To yeye ..amesema KWELI nimeamini Bila wewe baba Blanca mwaka huu nisingefika popote...nikamwambia mwanaume kamili anatakiwa kuwa hivyo ba kikubwa hukanionyesha jeuri,dharau Wala kibri....moyon nimekisikia Aman sana