fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,875
- 24,483
Hahaha haya bhana, chapter closed😊Najua unajua mkuu
Hahaha haya bhana, chapter closed😊Najua unajua mkuu
Hahaha kumbe. Wanasema Kama ipo ipo tu🤣🤣Kula tunda kimasihara mkuu
Haha haya bhana. Njoo chumbani bhasi mamiiNimekuelewa,afu tupo public ...usijiachie mno🙆
Heri ya mwaka mpya 2023Siwezi kuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzangu wala boss.
Nilihisi kama nimeiona humu acha nibadili mfuniko wangu. Sasa hiviHeri ya mwaka mpya 2023
Hii avatar Bantu Lady
Mnooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataree
Very true,Wanaume wanaoheshimu hisia za watu, ni watu makini sana kujenga ustawi bora wa mahusiano na malezi. [emoji95]
Hii kauli siku moja nataka itamkwe na Mama Samia Suluhu Hassan pale kwa Mkapa mbele ya Maiki, maana dah wanawake wamekua visabengo haki ya naniBaba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu