Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,922
Mwanamke ni ubavu wa mwanaume, hii ya yeye kuwa shingo haipo.Aliyesema mwanaume ni kichwa alisahau kuwa mwanamke ni shingo, atakigeuza kichwa kitazame anakotaka, isipokuwa mgongoni
Mwanamke ni ubavu wa mwanaume, hii ya yeye kuwa shingo haipo.Aliyesema mwanaume ni kichwa alisahau kuwa mwanamke ni shingo, atakigeuza kichwa kitazame anakotaka, isipokuwa mgongoni
Uncle T ndio nani tena ndugu?nimsikilize😅Uncle T alisikika akijiimbia😀
Na vile wengine tuko mazingira tofauti na tulioyazoea lazima utumalize kabisaHahahaha pambana na hali yako kama hueshimu hisia za mwenzio upweke lazima ukugonge 😆
Na ukuume vizur ukumaliz kabisa
Sema kweli??Juzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman
Aisee, MUNGU akubariki sana na akupe kila utakachohitaji.Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.![]()
Yaan ni shida tu,tunaenda nayo ivoivo mpaka unampata mwenzioMahusiano yana heka heka nyingi,, unakuta unampenda mtu kumbe ye anapenda hela zake 🤣
Ama mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake.
Mara umependwa na mtu ambaye humfeel
Heee heka heka ni nyingi sana.
Amina🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏