Uko wap nikununuliee kitu cha WINE MKUUU UMEONGEA POINT SANA THEN VISHENZI SANA KAZI KUCHANGANYA MA BWANA TU VINA TAMAAA KMA FISIWanawake wenye umri mkubwa 35+ huwa wanasema hivyo lakin hivi vinyonyoma vya under 30 wanavimba sana , lakin mwisho wa siku wanaishia kuchukua waume za watu
Sure kinyume cha hapo ni mpauko wa hatari hueleweki ni mzee au kijana...Wenye akili wanajua mwanamke hawezi ishi bila mwnaume, mwnamke anahitaji affection kustawi
Ahsante kwa muongozoYaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.![]()
Wanaume tunasema asante Kama imefikia hatua single mamaz mnakili kuwa "once you're beside a man, you feel secured"Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Mbona umenichunia lakini?Ivo mkuu