Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,182
- 138,477
Umeongea kweli tupu. Jioni hii kuna singo maza nilimpa lift. Wakati naingia barabarani nikamwambia angalia gari huko. Na ulivyo huna mume ukivunja kiuno nani atakuwa anakutawaza. Akaniambia hahitaji ndoa akipata shida ndugu watamsaidia. Ikabidi nipaki gari nikamsomeshe aache kabisa ujinga.😂😂jaman
Mume ni nguzo kuu, hao ndugu watapata uraisi wa kukusaidia kama kuna mtu yupo front wanampa support.