Munooo🤣🤣🤣Basi wanaume wa JF wamefurahi hao.
Huyu hapaUncle T ndio nani tena ndugu?nimsikilize😅
Hujambo binti yangu kipenzi?Basi wanaume wa JF wamefurahi hao.
Hongereni sana.Munooo🤣🤣🤣
Sijambo kama kawaHujambo binti yangu kipenzi?
Nafurahi kusikiaSijambo kama kawa
Huyu hapa
Huu msimu wa sikukuu nasikia na kuona mengi🤣🤣🤣Juzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman
Aloo mungu mkubwa. Agiza natuma muamalaHata sijui mkuu![]()
Kabisa mom...yaan acha tuJuzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman
Uncle T, sema uncle THizo cartoons ndio zinaimba upweke wa mapenzi?🙌😅
labda shingo ya bundi, maana bundi peke yake ndiye anaweza kuzungusha kichwa chake at 360 degree...hata hivyo ukiwa na mwanaume ambaye unaweza ukamgeuza akaufyata na akageukia kokote unakotaka ujue una bahati mbaya, huyo si mwanaume halisi.Aliyesema mwanaume ni kichwa alisahau kuwa mwanamke ni shingo, atakigeuza kichwa kitazame anakotaka, isipokuwa mgongoni