Hahaha! nenda muuzaji anauza kwa upendo wote hicho kinywaji, kikubwa ni malipo!Upendo mkuu
Hakuna raha ya kuwa mpweke ndio maana Mungu alituumba wawili. Its nature yani huwezi kwepa hata ukijizima data kuna muda utakufundisha adabu tu.Juzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman
Au unaonaje mkuu 🤗😂😂😂😂😂🚶
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 UmeuaaWe unafikiri singo maza hawapendi kuwa na waume zao? Shida ni sisi wanaume ndo hatupendi kuoa singo maza ni wanaume wenzetu wachache sana walio bahatika kulogwa ndo wameoa
Mi ujinga huu sifanyi tena aiseeHakuna raha ya kuwa mpweke ndio maana Mungu alituumba wawili. Its nature yani huwezi kwepa hata ukijizima data kuna muda utakufundisha adabu tu.
Wenzio wako vaccation wanainjoy na bebe zao kina baba Alvin wewe uko kwenye apartment unalia lia kama fala🤣🤣🤣
Mwaka mpya bado wewe au umeshasahau😂😂😂sikukuu zimekwisha mbona
🤣🤣🤣
Ndio muda wa kujifunza huo😀 2023 usifanye kosaMi ujinga huu sifanyi tena aisee
Ndio ukweli huoBasi wanaume wa JF wamefurahi hao.
chap kwa haraka!