Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,158
Khe nyie mpaka taa mnaita mtu???Ni kweli aisee,home hakuna baba hata kuweka taa tunatafuta kijana jirani.
Mimi mpaka holder ya taa nafunga mwenyewe.
Ndani kwangu kuna tester na vifaa vingine kama bisibisi nk.
Ila yote kwa yote wanaume wanahitajika sana(wanaojielewa lakini).
