Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,754
- 10,031
Yaan matani siwezagi kwakweli 😃😃😃Nawe upo huko?
Yaan matani siwezagi kwakweli 😃😃😃Nawe upo huko?
"Ndio mnaishiaga kuachwa na watoto"Ndio mnaishiaga kuachwa na watoto, eti sio kujifanya mnyonge
Hujakosea ni chizi kweli"Ndio mnaishiaga kuachwa na watoto"
Kwani ukiachwa na mtoto kifo chako ndo kimefika au. We chizi nn
Basi peleka uchizi wako huko kwa waoga waoga.Hujakosea ni chizi kweli
Pita hivi🤣Yaan matani siwezagi kwakweli 😃😃😃
Feminist hiiYani na wanawake tungekuwa appreciated na wanaume kama hivi hakika ulimwengu wa mapenzi ungekuwa sehemu salama sana
Kinachotukwaza wengine ni kuona comments za matusi na makasiriko tu kwa wanawake kila siku yani
Bora tujifunze kutambuana umuhimu wa kila jinsia kwa nyenzie jamani
sawaBasi peleka uchizi wako huko kwa waoga waoga.
😀😀 dahNi tafrani tu.Halafu wewe Depal nimekutafuta hata tukae Sumni Tengeru pale tunywe mbeghe na lite umeingia mitini.Haya kimbia kama Kipchoge wa Kenya
Nikipewa hiyo nafasi ya samia,wanaume nitawabakiza wachache sana🙅Pole sana
Vipi kama ukipewa nafasi ya kumrithi Samia😝😝😝? Kabla ya kusoma uzi wako nilihisi unapig directly kick kwa mama kumbe sio. Aisee umenipiga kanzu mbele ya mashabiki lukuki bora niende JKU HUKO NILIPOCHEZAGA ZAMANI KAMA FEITOTO