Father x-mas labdaDaah kuliko kuwa na mke kama Joy bora ni father😆😆😆
Ccy inatakiwa iwe funzo nakwambia. Sio kukaa mnyonge mnyonge.Huna cha kumfanya,unaendelea na maisha mengine
Unanena au unawaza?Haya sisi tunaoshinda makazini tunawapata wapi hao wanaume wanaojielewa?
Tafuneni tu wala hatuna shida sisiWe PISI KALI hutuonei wivu sisi Me tutapokuwa tunajitafunia zile bikra 72 na mito ya pombe peponi [emoji848][emoji39]
Amina mom,kuna siku Mungu wetu atawakumbushaYani na wanawake tungekuwa appreciated na wanaume kama hivi hakika ulimwengu wa mapenzi ungekuwa sehemu salama sana
Kinachotukwaza wengine ni kuona comments za matusi na makasiriko tu kwa wanawake kila siku yani
Bora tujifunze kutambuana umuhimu wa kila jinsia kwa nyenzie jamani
Sasa kama umekaa kibabe babe tu kama wale Ke wa kanda ya ziwa na kusini unategemea Wanaume wa Dar watakukubali [emoji848][emoji87]Haya na nyie sasa muache kupost against us,
yaan mwaka huu wanaume wa humu wako so against us
It could be fair mmoja wenu akatuappreciate na sisi just a little bit [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna watu ukikaa kimya sana anazidi, Ni hadi umpge yai kwanza.Mi siwez cute,sishindani na mwanaume asiyejitambua...namwacha aendelee na maisha yake
Jipe moyoMwanaume ni kichwa na mwanamke ni moyo
Leo hujaenda shuleni naona upo very activeHata sijui mkuu😎
Yai gani jamaaa..!!?Kuna watu ukikaa kimya sana anazidi, Ni hadi umpge yai kwanza.