The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,404
- 103,829
Every Man needs a Woman,
Every Woman needs her Man.
Every Woman needs her Man.
Unawaambia nini 'mafeminisiti '?Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Nimepata kusikiliza kidogo maana sikuwa naifahamu hii,hakika watoto wanafaidi sikuhizi .Uncle T, sema uncle T
Umenena ukweli, ila pia mwanamke ni mwanamke tu. Na kwahiyo naye utu wake uheshimiwe pamoja na nafasi yake katika mahusiano au familia.Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Kwamba kuanzia tar.23 hadi tar.2 aliyeko single anaweza kuwa mpweke kufwaa, aliyeko occupied anashughulisha viungo vyake balaa.🤣😂😂😂😂unataka kusema nn sijui
CorrectHongera Sana mkuu kwa kutambua umuhimu wa wanaume maishani.
Kweli wanawake bila wanaume maisha yao hayaendi and vice versa is also true.
Tuzidi kupendana.
Cc Pande za Yeriko.Juzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman
Kweli kabisa.😳wee,sema kweli?
Sonona inakunyemeleaNa vile wengine tuko mazingira tofauti na tulioyazoea lazima utumalize kabisa
Ila punguza ukorofi.😅
Wanainjoi sana aisee, inawasaidia pia kujua mambo mapema, vitu kama hesabu na uongeajiNimepata kusikiliza kidogo maana sikuwa naifahamu hii,hakika watoto wanafaidi sikuhizi .
Sema kweliSema kweli??