F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,651
Ndio mnaishiaga kuachwa na watoto, eti sio kujifanya mnyongeCcy inatakiwa iwe funzo nakwambia. Sio kukaa mnyonge mnyonge.
Ndio mnaishiaga kuachwa na watoto, eti sio kujifanya mnyongeCcy inatakiwa iwe funzo nakwambia. Sio kukaa mnyonge mnyonge.
Asiyependa kusifiwa nioneshe alipo haraka sana kuna zawadi yako, nimekaa pale [emoji117][emoji4]Kwani uongo? [emoji3][emoji3][emoji3]
Nani amenishindwa?Wewe umeshindikana, huyo ndio size yako. Akunyooshe.
Tatizo ni kwamba wengine hawastahili hizi sifa, wanachekelea bure tu hapaAsiyependa kusifiwa nioneshe alipo haraka sana kuna zawadi yako, nimekaa pale [emoji117][emoji4]
Ni hotel au???Mdope ....mama john pale.Ndo kimyaa
Umetukosea adabu sana Me kutufananisha tabia kiujumla na Wanaume wa Dar ...[emoji30]Yani na wanawake tungekuwa appreciated na wanaume kama hivi hakika ulimwengu wa mapenzi ungekuwa sehemu salama sana
Kinachotukwaza wengine ni kuona comments za matusi na makasiriko tu kwa wanawake kila siku yani
Bora tujifunze kutambuana umuhimu wa kila jinsia kwa nyenzie jamani
Na lenyewe huko liliko linaamini limekuacha uende ukahangaike na duniaUnaliacha liangaike na dunia.Tunapita hata ivo,muda tulionao siyo wa kuangaika na wasiojielewa
Mtaje hapa nimjue ili nimkanye aache kukuchezea we PISI KALI wa nguvu [emoji123][emoji275]Tatizo ni kwamba wengine hawastahili hizi sifa, wanachekelea bure tu hapa
Sawa father x-mas.Nani amenishindwa?
Na kwanini alikuwa akishindana nami hadi anishindwe?
Sitaki mwanamke wa kushindana nami🤣
😳😳😳😳😳😳😳😳Mrudie mwenzio muishi.Sina nyongeza hapa
Wabheja sana!!😘😘✌️✌️Ndiyo
Karibu huwa siogopi kesiSawa father x-mas.
Halafu nina kesi na wewe.
Haswa wakichakazwa na kuachwa na mtoto asiye na matunzo wala malezi ya baba yakeHawa viumbe huwa wanaona umuhimu wetu baada ya kuchakazwa sanaa.
Tayari ameagizwa msanifu majengo kuchukua vipimo vyako, na vibali vimeshapatikana sanamu ijengwe Pembeni ya Uwanja wa MkapaWaongo,wananiahidi ivoivo hawatekelezi
Aah rafiki angu wewe unakurupuka 😃😃😃 nimesema hivo maana tangu huu mwaka uanze humu JF kuna thread mingi za kuponda wanawakeSasa kama umekaa kibabe babe tu kama wale Ke wa kanda ya ziwa na kusini unategemea Wanaume wa Dar watakukubali [emoji848][emoji87]