Chakorii naomba nikuulize kitu!?Juzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman
Neno haswa"Mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake"
Depal
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
hahahah hadi huruma ngoja nimuache😅😂😂😂 umemkandia balaa
Wamesema watakujengea sanamu😂😂🙊
Basi umeanza kujitambua mkuu 😀😀😀No,I just feel it
Amen" Mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu".
Mwisho wa kunukuu
Hey uko salama wewe?!Wamesema watakujengea sanamu
IshindweeeSonona inakunyemelea
Yvone Machaka alifanya yake na yakakubalika.Uwe umetulia huku unasikiliza hiyo ngoma ni hatari.Every Man needs a Woman,
Every Woman needs her Man.
Hujakutana nao? 😂😂😂"Mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake"
Depal
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ngoma gani Mkuu?Yvone Machaka alifanya yake na yakakubalika.Uwe umetulia huku unasikiliza hiyo ngoma ni hatari.
Wewe subiria mwezi wa kwanza tarehe za mbele mbele huko utakutana na makasiriko kwenye miandiko sio ya nchi hii😆Huu msimu wa sikukuu nasikia na kuona mengi🤣🤣🤣
Mbona haya mambo sikuyasoma mwezi wa sita huko.
Ukilingundua hili mapema utakula mema ya nchi ila ukijakuligundua ukiwa umechelewa aisee moto wa jehanam utakuanzia dunianiYaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.![]()
Ameeeennn.. Abarikiwe na azidi kukupa furaha dear kuna mtu ukiwa nae unaona kabisaaaa I'm in a safe place na you feel proud kuwa nae kwa si kwa maneno yake tu na matendo pia!!Juzi kuna mtu nimemtakia heri ya Christmas….majibu aliyonirudishia ….jamani pande za yeriko zilipasuka Kwa furaha.
Kuna wakati tu Nahitaji pia maneno mazuri,kukumbatiwa(unajihisi Uko salama)kupelekwa dinner sehemu na mengineyo mazuri mazuri.
Kuwa singo kuna ubaya na uzuri jaman