Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Hongera shemeji kwa ushindi jana usiku kama wa Argentina, umemfanya bibie kuona umuhimu wa wanaume....

Hakika argentina ilistahili ushindi siku ile na usiku wa kuamkia leo pia
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
"Mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo"

Hawa kina Shelby na kina Mohammed mhhh Mungu awatetee wanawake wote maan kuna wanaokutana na mabomu nyuklia ikasome.
 
Maneno kama haya ya mleta mada huwezi kuyasikia kwa vijischana vitoto vya miaka 22 - 29 huwa vinajiona bado vina soko wakati ni suala la muda tu
Hawa viumbe huwa wanaona umuhimu wetu baada ya kuchakazwa sanaa.
 
Back
Top Bottom