🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!🙉🙆mdomo koma,nilisemelea kuwa umenijulisha upo mbeya.Nisamehe Mimi kiukweli.
Sikiliza wewe mende🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Nitakushangaza pale atakapokuja kukuambia "yo mom is the best thing that ever happened to me".
Ungekua mwanaume ungeelewa...Be a man.Dunia ina maua mengi mno mkaka
Dah kwa sababu Pesa+Projects +Mipango inaanza then Mapenzi yanafuataMahusiano yana heka heka nyingi,, unakuta unampenda mtu kumbe ye anapenda hela zake 🤣
Ama mtu anakupenda kwa hisia ila anashindwa kukupenda na matendo yake.
Mara umependwa na mtu ambaye humfeel
Heee heka heka ni nyingi sana.
Mwanaume ni kichwa na mwanamke ni moyoAliyesema mwanaume ni kichwa alisahau kuwa mwanamke ni shingo, atakigeuza kichwa kitazame anakotaka, isipokuwa mgongoni
Hujui kilichokupata...Kucheka nn nieleweshe
Embu ninyoshe kidogo ili akili inikae sana...Sawa,kumbe furahia
We kimbinyiko hebu tulia, muache aenjoy. Usimuonee wivu😂😂😂😂Sikiliza wewe mende🤣🤣🤣
Msiposhughulikiwa vizuri mnajigeuza wanaharakati.
Unamkumbuka Joyce Kiria alivyoharibu wengi kwa uana harakati fake?
Ona yuko kimya yaani ameata wa kumkata hamu.
Mmeachiwa nyie wajinga tu
Stuka wewe
Antonnia sijaona ukiweka neno lako hapa ili niponywe roho [emoji124]" Mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu".
Mwisho wa kunukuu
Maneno kama haya ya mleta mada huwezi kuyasikia kwa vijischana vitoto vya miaka 22 - 29 huwa vinajiona bado vina soko wakati ni suala la muda tu