Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Haya na nyie sasa muache kupost against us,

yaan mwaka huu wanaume wa humu wako so against us

It could be fair mmoja wenu akatuappreciate na sisi just a little bit ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Tutendeeni vyema tuwafungulie uzi๐Ÿ˜…
 
Akijitokeza wa kukuoa hakika nijulishe nisaidie kulipa mahari.
Zawadi yako itakuwa hati ya kiwanja๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unaniozesha haraka haraka asijeghairi sio?
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.
Sanamu lako tuliweke wapi mkuu,,,?
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.๐Ÿ™
Ameen
 
Mi sitaki jua mtaenjoi nini Mtajua Wenyewee๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—!!

Hebu nimalizie vacay Yangu vizuri huko miyee wee To yeye ile siku mi nikataka nikutafute tukanywe mbilitatu mtu mmoja akanichambaaje sina hamuuu!!
Shenzake ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ™‰๐Ÿ™†mdomo koma,nilisemelea kuwa umenijulisha upo mbeya.Nisamehe Mimi kiukweli.
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.๐Ÿ™
ndio maana unagombaniwa,soon nita-join kwa race!
 
Hakika pili ninamtia moyo kwani najua atakuwa na kibarua kizito ndani๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nitakushangaza pale atakapokuja kukuambia "yo mom is the best thing that ever happened to me".
 
Back
Top Bottom