Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Kumbe ulikuwa hujalitambua hilo!!
Hawa watu (wanaojitambua tu) Mungu awatunze tu kwaajili yetu.

Love is a beautiful thing.
Surely ,yo' words have given us strength and comfort wallah,Sema Nini unataka leo..tuko kwa ajili yako.

May the Lord fulfill all your petitions😊
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.
Wapi tujenge sanamu lako to yeye

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wee na mwenzio akili zenu mnazijua wenyewe!!!
Enjoy guyssss ✌️✌️✌️✌️
🙉naomba umrudie kivuruge wako,la sivyo nitamgawa kwa wasiojielewa zaidi yake wamnyooshe😏
 
😂😂😂unazingua sana,mi nikajua Antonnia alikuwa anachangamoto..
Lakini noo,alikuvumilia sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Mnaniua Mbavuuuuuu namwehu wako huyo mjuee Nacheka kama chizi hukuuu!! Hakii mambo yenu nawaachia wenyewe 😘😘😘😘😘!!

Mwambie namie Naenda kuwashtak mnanisumbua kunitagtag🤣🤣🤣😁😁😁😁🤗🤗🤗
 
Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.

Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.

Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏

Hilo umeona wewe kuna hawa mbwa huku kitaa ambao wakati wa sex wanajinyonya chuchu zao wenyewe ni hatari anapigwa shoo na anasagwa pia hawajui hilo
 
Surely ,yo' words have given us strength and comfort wallah,Sema Nini unataka leo..tuko kwa ajili yako.

May the Lord fulfill all your petitions😊
Mnatufaa sana, ukiachilia mbali makando kando yenu ila daaah!! Mungu awatunze tu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Mnaniua Mbavuuuuuu namwehu wako huyo mjuee Nacheka kama chizi hukuuu!! Hakii mambo yenu nawaachia wenyewe 😘😘😘😘😘!!

Mwambie namie Naenda kuwashtak mnanisumbua kunitagtag🤣🤣🤣😁😁😁😁🤗🤗🤗
Khaaaa🙅🙋
 
Hilo umeona wewe kuna hawa mbwa huku kitaa ambao wakati wa sex wanajinyonya chuchu zao wenyewe ni hatari anapigwa shoo na anasagwa pia hawajui hilo
Mbwa?😳
 
Back
Top Bottom