Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,304
- 183,201
Lol polee dear..ulipatwa na Ussshuunggguu sana Ndiomana uliliaa!Hakuwa mmubebez mwaya.
Baada ya kusoma ujumbe wake nilicheka sana(Sijui kwanini)nilifurahi sana….nikalia sanaaaa..halafu nikajifungia ndani nikalewa Sanaa mpka nikazima.nakuja kustuka mlango unagongwa kama unataka kuvunjwa.
Sijui kwanini siku ile nilikumbwa na ile hali.ninajiuliza mpka sasa sipati jibu
All in all Mungu ni mwema na hutuletea watu sahihi kwa Wakati wake tusilaumu sana!!
Mapenzi matamu sana ukipata mpenzi rafiki 😍!!