Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

shilanona, life is Short, Kikwajuni one, majebere, nngu007,

..lakini ili mhusika aweze kudai na kulipwa anapaswa ku-prove kwamba yeye ni descendant wa Watumwa waliotokana na biashara ya Watumwa iliyokuwa ikifanywa na Waarabu.

..kwamba Mwarabu alikuwa akifanya biashara ya utumwa Afrika Mashariki hilo wala halina ubishi. kitu ambacho bado hakijawa documented vizuri ni wapi Watumwa hao waliuzwa au walikwenda.

..pia baada ya Sultani kuzuiwa kuuza Watumwa watakaosafirishwa nje ya himaya yake, slave labour ilianza kushamiri ndani ya Zanzibar na haswa ktk mashamba ya karafuu.

..Sasa kunatakiwa kufanyike jitihada za kuwatambua descendants wa Watumwa waliofanyishwa kazi Zanzibar na maeneo mengine ya Afrika Mashariki ili waweze kudai haki zao.

..jambo lingine lenye kuleta ugumu ni kuwa-identify waliokuwa slave owner Zanzibar pamoja na maeneo mengine ya Afrika Mashariki. hao wanatakiwa kutambuliwa ili kuweza kuwa-track descendants wao walioko sasa hivi ili kujua kama wana mali zozote zile zilizotokana na slave trade or slave labour.

..Kosa moja walilofanya wazungu ni kuweka kumbukumbu za kimaandishi za biashara ya Utumwa. Kwa upande wa Muarabu sina uhakika kama zipo nyaraka za kihistoria zinazoonyesha kuwa walikuwa wakiweka kumbukumbu za maandishi kuhusu unyama waliokuwa wakifanya.
Jioni njema mkuu, Tunakubalina kwa yaliyo sahihi yamefahamika. Hata yaliyoandikwa katika nyaraka yalikuwa yaUZUSHI na ya upande mmoja kuonyesha picha za mateso ili iwalemaze wasiyopenda kufikiri What IS RIGHT/FACT AND What is wrong and bulshit and what is propaganda; kwakuwa yalisomeshwa utotoni, kwa sbbu. za brain washing.
Omani ipo Umoja wa mataifa upo nchi yetu huru hapa ipo Afrika yote huru ipo sasa wacha/ nani atakayeanza kuchapa hatua ya kudai tumuone? acheeni wacha tukalale kwetu!!
 
life is Short,

..kwamba kulikuwa na biashara ya Utumwa na Zanzibar ndiyo ilikuwa kituo kikuu kwa eneo la Afrika Mashariki hilo lalina ubishi.

..suala ni kuangalia je, mhusika mkuu alikuwa ni Sultani wa Zanzibar, au Sultani wa Oman, au Sultani wa Zanzibar and Oman??

..kumbuka kwamba kuna kipindi kiti cha Usultani kiligawanyika kati ya Zanzibar na Oman.

..suala lingine ni ku-establish if there r any fortunes/ mali ambazo zimetokana na biashara ya utumwa.

..Wayahudi wameweza kuyashitaki makampuni yaliyohusishwa na concentration camp labour. je, sisi tunaweza kufanya hivyo? zaidi, can we establish kwamba sisi ni descendants wa wale waliochukuliwa utumwa??
 
Last edited by a moderator:

Prof.Wangu point zako zinaelekea kisheria, hapo patahitajika ushahidi tu,. Lakini mkuu, Sasa hivi imefahamika wale waarabu waliyo kuwa wakiishi kama raia wa kawaida wa Zanzibar chini ya Sulutani aliyepinduliwa kwa umwagaji damu na hawo madhalimu waanaojiita wana mapinduzi waliyo watendea kwa kuwachinja na kuwakatakata na mapanga raia wanyonge na kuiba mali zao na mashamba yao na kuchoma nyumba zao na vilivyokuwemo ndani...Je Serikali ya Sasa itawajibika Mahakama kuu. kwa sababu kuna ushahidi kamili na kanda zipo wazi kuegeza mahakamani. hapo itakuaje kibao kikigeuzwa?
Suala la watumwa wanaodai walete mashuhuda tu inatosha. Kazi ipo Nani atamhukumu nani?
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
Khaa!! uwashtaki?? umesahau hii kitu walichowafanyiwa?? hesabu hizo dead bodies :heh: Zanzibar Revolution 1964 - YouTube
 
Mtoa mada hujaenda shule kabisa, hv, aliyekuwa ananunua watumwa alikuwa mwarabu au mzungu! Na aliyesema utumwa basi alikuwa mwarabu au mzungu. Na ile 'Triangular Slave Trade' unaifahamu. Lakini sikucheki umepata mburura wenzako wanakuunga mkono.
 
Khaa!! uwashtaki?? umesahau hii kitu walichowafanyiwa?? hesabu hizo dead bodies :heh: Zanzibar Revolution 1964 - YouTube
Mh.Roho Vipi mambo poa? naona umepata ile repoti !! yaani siye ni makatili ?
Eti Leo hao ndiyo viongozi wakuwategemea? majambazi yanaYumbisha kisiwa na kutesa wananchi wao kwa utashi!
Wazanzibar wangepata Viongozi bora Wasinge kuwa masikini kama haya ya leo " LAA'NA HIYO"
 
Prof.Wangu point zako zinaelekea kisheria, hapo patahitajika ushahidi tu,. Lakini mkuu, Sasa hivi imefahamika wale waarabu waliyo kuwa wakiishi kama raia wa kawaida wa Zanzibar chini ya Sulutani aliyepinduliwa kwa umwagaji damu na hawo madhalimu waanaojiita wana mapinduzi waliyo watendea kwa kuwachinja na kuwakatakata na mapanga raia wanyonge na kuiba mali zao na mashamba yao na kuchoma nyumba zao na vilivyokuwemo ndani...Je Serikali ya Sasa itawajibika Mahakama kuu. kwa sababu kuna ushahidi kamili na kanda zipo wazi kuegeza mahakamani. hapo itakuaje kibao kikigeuzwa?
Suala la watumwa wanaodai walete mashuhuda tu inatosha. Kazi ipo Nani atamhukumu nani?
life is Short,

..suala la mauaji ya watu wasio na hatia baada ya mapinduzi linapaswa kushughulikiwa.

..kwa mtizamo wangu, SMZ inapaswa kuomba radhi/msamaha kutokana na mauaji yale, na zaidi kutoa "kifuta machozi" kwa familia zilizoathirika.

..kuna familia zimepoteza wapendwa wao na haijulikani mpaka leo watu hao wamezikwa wapi. jitihada zifanyike kutafuta walipozikwa wa-Znz hao. kuna nchi kama Marekani mpaka leo wanatafuta miili ya askari wao waliopotelea Vietnam. SMZ wanaweza kuomba msaada huko ktk kushughulikia tatizo hilo.

NB:

..suala hili limefanyika Afrika Kusini. wananchi ambao hawajaridhika na maamuzi ya tume ya maridhiano wamepewa haki ya kwenda mahakamani.
 
BRAVO; Tunaomba tupate Waheshimiwa kama Wewe wengi hapa nchini kuweza kutetea haki na maadili.
Long live Jokakuu maisha mema.
 
I thought hawa Oman ni ndugu zatu na tumenga dam kupitia ZNZ haya sasa imekuwaje? Maana kila tukisema twaambia Ohhhhh Mashaalllah kwani weye huna ndugu Maskattii? wanaendelea kuntufanya wathumwa wao

akha mambo geni haya?

5208604531_e10bc5b3df_z.jpg

Dar es Salaam.
Tanzania’s embassy in Oman has taken steps to address long-standing complaints from domestic workers hailing from Tanzania.

Speaking on condition of anonymity because he was not authorised to speak to media, an official with the embassy told The Citizen on Saturday, that the embassy had decided to take the measure following numerous complaints from Tanzanian domestic workers there.

“We have prepared a standard contract in order to safeguard rights for workers coming to work in Oman, this was due to the fact that majority of those who were brought here were treated contrary to promises they were given before coming here,” he said.

The official also noted that one of the main things in the standard contract was the salary which has been increased from 27 Oman Rial (Sh118,341) to 70 Oman Rial (Sh306,810).

The embassy official said they had to intervene following persistent complaints from the workers over ill treatment from their employers.

But a recent report by an Omani newspaper shows that it is not only domestic workers who have been complaining, but other employees as well.

Quoting multiple sources, Times of Omanreported that manpower agencies in the country had stopped recruiting housemaids from Tanzania following long-standing complaints both from domestic workers and their employers that range from violence to child abuse.

According to official statistics, Tanzania provides the largest number of housemaids in Oman from Africa with over 1,600 of them employed across the country. However, recruiting agencies say that Tanzanian domestic workers last the least amount of time, among housemaids who hail from other countries.

“I have been recruiting Tanzanian housemaids for my clients for more than five years and they only stay in the country for an average of 13 months of the two-year contract that they sign. We have complaints from both sides. Employers return housemaids claiming they are rude or lazy while housemaids say that they are treated badly at work. It is not worth the trouble and this is the reason we don’t bring Tanzanian housemaids anymore,” said Salah Al Hajri, director of AlShizawi Recruitment Company to Times of Oman.

Four other recruiting agencies confirmed that they had stopped bringing housemaids from Tanzania. They blame both sides for not making an effort to reconcile the differences.

To address the situation, the embassy official told this paper that the standard contract is sent to Tanzania for the worker to read, understand and sign it before it is sent to Tanzania Employment Services Agency (TaESA) for approval.

“With this contract, we have managed to raise the salary scale from 27 Rial to 70 Rial, which is an equivalent of Sh306,810 together with the medical insurance and other benefits. But the problem is majority of who come here are not coming through registered recruitment agencies; we only see them when things get worse,” said the source.
 
Tusisahau kuwa Utumwa ulipigwa marufuku officially huko Oman in 1970 hivyo watu weusi from Tanzania na ZNZ bado wapo huko na kwa sababu ya slave mentality wanawaambia watoto wao kuwa wao kazi yao ni kuwatumikia waarabu weupe. waarabu weupe nao wanawaambia wtotowao kuwa waarabu weusi kazi yao ni kuwatumikia wao

so you know the drill hawa toka huku Bongo wakipelekwa kule

20140426_map501.jpg
 
Kichwa cha habari na utumbo wa habari ni vitu tofauti. Mleta mada vipi? Kiingereza hakipandi au umeamua tu kuchafua WaOman?

Kwa muhtasari, Habari inaelezea balozi anasema kuwa wamesikiliza manung'uniko ya wafanyakazi wa majumbani na wamefanya mikataba rasmi ya wafanyakazi hao wanaotoka Tanzania na imewaongezea mishahara kutoka Rial Oman 27 mpaka 70 na pia habari imeongelea manung'uniko ya waajiri kuwa wafanyakazi kutokea Tanzania ni wavivu kulinganisha na wa nchi zingine na mawakala wengine wameacha kuchukuwa wafanyakazi kutoka Tanzania.

Huo utumwa uko wapi hapo?

Hivi HNIC kupotosha na kudanganya inakusaidia nini?
 
Last edited by a moderator:

Wewe HNIC acha kupotosha watu. Huyu kwenye picha anapata haki zake kama mwananchi yeyote ndani ya Oman na si mtumwa. Kama ni manung'uniko ni pande zote mwajiri na mwajiriwa, kitu kikubwa yaboreshwe makubaliano (contracts) na uwepo mkataba baina ya serikali zaTZ na Oman.
 
Wewe punguani kweli unakwenda Oman kufanyaje wakati hapa hapa Tanzania wafanyakazi wa ndani wanayanyaswa zaidi ya watumwa.

Kesi zimejaa mahakamani mpaka wengine wanauliwa kwa vipigo.

Mnawaita mabeki tatu mnawatoa Iringa, Singida mnawageuza watumwa.
 
I thought hawa Oman ni ndugu zatu na tumenga dam kupitia ZNZ haya sasa imekuwaje? Maana kila tukisema twaambia Ohhhhh Mashaalllah kwani weye huna ndugu Maskattii? wanaendelea kuntufanya wathumwa wao

akha mambo geni haya?

5208604531_e10bc5b3df_z.jpg

Dar es Salaam.
Tanzanias embassy in Oman has taken steps to address long-standing complaints from domestic workers hailing from Tanzania.

Speaking on condition of anonymity because he was not authorised to speak to media, an official with the embassy told The Citizen on Saturday, that the embassy had decided to take the measure following numerous complaints from Tanzanian domestic workers there.

We have prepared a standard contract in order to safeguard rights for workers coming to work in Oman, this was due to the fact that majority of those who were brought here were treated contrary to promises they were given before coming here, he said.

The official also noted that one of the main things in the standard contract was the salary which has been increased from 27 Oman Rial (Sh118,341) to 70 Oman Rial (Sh306,810).

The embassy official said they had to intervene following persistent complaints from the workers over ill treatment from their employers.

But a recent report by an Omani newspaper shows that it is not only domestic workers who have been complaining, but other employees as well.

Quoting multiple sources, Times of Omanreported that manpower agencies in the country had stopped recruiting housemaids from Tanzania following long-standing complaints both from domestic workers and their employers that range from violence to child abuse.

According to official statistics, Tanzania provides the largest number of housemaids in Oman from Africa with over 1,600 of them employed across the country. However, recruiting agencies say that Tanzanian domestic workers last the least amount of time, among housemaids who hail from other countries.

I have been recruiting Tanzanian housemaids for my clients for more than five years and they only stay in the country for an average of 13 months of the two-year contract that they sign. We have complaints from both sides. Employers return housemaids claiming they are rude or lazy while housemaids say that they are treated badly at work. It is not worth the trouble and this is the reason we dont bring Tanzanian housemaids anymore, said Salah Al Hajri, director of AlShizawi Recruitment Company to Times of Oman.

Four other recruiting agencies confirmed that they had stopped bringing housemaids from Tanzania. They blame both sides for not making an effort to reconcile the differences.

To address the situation, the embassy official told this paper that the standard contract is sent to Tanzania for the worker to read, understand and sign it before it is sent to Tanzania Employment Services Agency (TaESA) for approval.

With this contract, we have managed to raise the salary scale from 27 Rial to 70 Rial, which is an equivalent of Sh306,810 together with the medical insurance and other benefits. But the problem is majority of who come here are not coming through registered recruitment agencies; we only see them when things get worse, said the source.
Hata haujui ulichokiandika unazusha tu.
 
Faiza Fox!! Usichokijua ni vyema ukakaa kimya!! Sio lazima uchangie mada!

Habari kama hizi ukijakuona zimetoka Public ujue watu walishaumia sana!! Binafsi nimeishi na ninaishi nchi za kiarabu, lakini kwa ujumla nchi hizi kwa upande wa wafanyakazi wa ndani (housemaids, houseboys na madreva wa nyumbani) wanaumizwa mno!! Nchi ambayao kidogo inafuatilia na ina unafuu kidogo na sheria zinafanya kazi ni Qatar. Naongea hivi nikiwa na uzoefu wa Gulf countries karibia zote nazitembelea!!

Kwa taarifa yako agencies za Kenya zimefungwa pale Saud Arabia, nakushauri fuatilia ni kwanini!!

Siungi mkono kutumia njia za panya, ni vyema unapotaka kuja Gulf, ufuate sheria zote, otherwise....!!
 
Back
Top Bottom