Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Hakuna utumwa hapo ewe punguani, hakuna anaelazimishwa kwenda kufanya kazi nje ya Tanzania.

Utumwa upo nyumbani kwenu, na link hiyo umeona, ni hapa hapa Tanzania, au hujaliona hilo?

Punguani wahed.
british-with-slave-trader.jpg

British colonial official with Islamic slave traders in Zanzibar. On the far right is Hamad bin Mohamed bin Jumah bin Rajab bin Mohamed bin Said al-Murghabi, more commonly known as Tippu Tip. He was the most notorious Islamic slaver. al-Murghabi died in 1905.

The Arab slave trade: 200 million non-Muslim slaves from all colors and nationalities | The Muslim Issue
​
 
Tukishikana wenyewe kwa wenyewe ,yaani ukiwa na nguvu tu unakamata wenzako unaenda kupata bei ,halafu biashara ya utumwa ni kipindi ambacho dunia nzima ilipitia ,hakuna wa kulaumiwa ,hivi kna nchi hapa duniani haikupitia utumwa ,sasa baada ya kupingana na ccm mnapingana na wakati ,jamani wakati ni ukuta ,hivi kufanya kazi ya nyumbani hapa tz na huko maulaya arabuni wapi bora ?

Ila kuna kitu kimoja nimesikia usije ukaenda masikati ukamkuta jamaa mweusi ukamwambia wewe unatoka Tanganyika au Afrika mbona itakuwa kesi kubwa.
 
Last edited by a moderator:
British colonial official with Islamic slave traders in Zanzibar. On the far right is Hamad bin Mohamed bin Jumah bin Rajab bin Mohamed bin Said al-Murghabi, more commonly known as Tippu Tip. He was the most notorious Islamic slaver. al-Murghabi died in 1905.

The Arab slave trade: 200 million non-Muslim slaves from all colors and nationalities | The Muslim Issue
​

Nyinyi chuki zenu dhidi ya waislamu zitazidi kuwatia vidonda vya tumbo ...
Ukiisoma hiyo sentensi hapo juu inaonyesha jinsi gani mlivyo matahira ..mnaamini kila kitu mnachoambiwa makanisani dhidi ya waislamu...

Hiyo sentensi hata mimi ningeweza kuiandika kama hivi...
Christian Colonial and Slave Trader Mr Ishmael with Oman Officials in Zanzibar.

Kwanini huyo mzungu hakutajwa jina lake wala dini yake ?

Nyinyi mwenye jina la kiislamu akifanya jambo baso mna conclude waislamu wamefanya...
Mwenye jina la kikiristo akifanya jambo basi mnatulia kimya kama mnakata gogo vile...

Kuna magaidi ya kikiristo kutoka Nigeria yamekamatwa Tanga nenda kawatetee wajomba zako...
Vipi ule mpango wa kuhusu kupitisha ushoga vatican unakuja lini Tanzania ?
 
Oops!
Ngoja tuiangalie Talmud inasemaje:

"When the Messiah comes every Jew will have 2800 slaves."-Simeon Haddarsen, fol. 56-D

"God created the non-Jew in human form so that the Jew would not have to be served by beasts. The non-Jew is consequently an animal in human form, and condemned to serve the Jew day and night." - Midrasch Talpioth, p. 225-L

Nitarudi inshaallah.
 
Why are you scared of History and mixing it with Islam?
 
Hakuna utumwa hapo ewe punguani, hakuna anaelazimishwa kwenda kufanya kazi nje ya Tanzania.

Utumwa upo nyumbani kwenu, na link hiyo umeona, ni hapa hapa Tanzania, au hujaliona hilo?

Punguani wahed.

We Kiumbe cha M/Mungu una ulimi mchafu sana, kwani unashindwa nini kupinga hoja kwa hoja. Muungwana hasifiwi kwa lugha chafu. Nakuombea Dua M/Mungu ausafishe mdomo wako Amen
 
Why are you scared of History and mixing it with Islam?
Acha uwongo wewe wapi nimemix History na uislamu ?
Mimi nikwambia ukweli tu ..chuki zenu mnazopandikizwa zidi ya waislamu hazitawasaidia chochote zaidi ya kuwapa
magonjwa ya moyo,pressure na vidonda vya tumbo...
 
You must be suffering from alzheimer. Read your own post :red letter words: knuff said.
 
Oops!
Ngoja tuiangalie Talmud inasemaje:

"When the Messiah comes every Jew will have 2800 slaves."-Simeon Haddarsen, fol. 56-D

"God created the non-Jew in human form so that the Jew would not have to be served by beasts. The non-Jew is consequently an animal in human form, and condemned to serve the Jew day and night." - Midrasch Talpioth, p. 225-L

Nitarudi inshaallah.

The Pervert Jibrilic clergy was a liar, looter, slave trader, mass murderer, rapist and pedophile. The moon god allah promises eternal drunken sex orgies with children in exchange for the murder of innocent people. A person who trades in sex with others is a pimp; therefore allah is a pimp. If that's what muslims choose to emulate then they are Satanists. The murdering fascist regime of islam is indefensible.
 
We Kiumbe cha M/Mungu una ulimi mchafu sana, kwani unashindwa nini kupinga hoja kwa hoja. Muungwana hasifiwi kwa lugha chafu. Nakuombea Dua M/Mungu ausafishe mdomo wako Amen

Hiyo lugha chafu ni pi ewe punguani?
 
Sanhedrin 57a. A Jew need not pay a Gentile ("Cuthean") the wages owed him for work"
 
..............WAGALATIA msianzishe mada zikawafanya mchukie Ukiristu bureee !..........hao jamaa, (Kanisa na Wazungu) sasa hivi wanafanya vikao vya jinsi ya kuwala 'kiboga' ! Ishmael ILAN RAMON

Uislam unaruhusu utumwa live hata mtumej alikuwa na watumwa
 
Last edited by a moderator:
Kwa waislamu Quran ni maneno ya mungu! Hivyo moja ya maneno ya mungu yaliyompa muislamu kumhukumu muislamu mwenzake pindi akifanya kosa ambalo mungu kalikataza NA kaliwekea hukumu.

Haya hapa ni maneno ya Quran yanayotoa ruhusa kwa waislamu kuwaazibu wote ambao wanayo tabia ambayo mungu kaikataza.

""Na mwizi mwanamume na mwizi mwanamke, ikateni mikono yao, hayo ni malipo ya waliyo yachuma, ndiyo adhabu ya mfano itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima"" (Al-Maeda 5:38, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

""Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini""". (An-Noor 24:2, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

nice answr sijaona mahali ambapo ametoa hukumu ya kupigwa mawe hadi kufa

nikuelimishe kitu na usichokijua hayo unayoyasoma ni mapokeo ya miaka mingi sana nyuma na hizo sheria zilitumika kipindi hicho

kwa sasa dunia imebadilika sana ndio maana ndugu zetu wana agano jipya ambalo linasaidia sana katika kuendana na wakati

Jua kwamba hiyo Quran imeandikwa na binadamu si lazima kufuata kila kitu tukae chini na tujaribu kuendana na wakati ndugu zangu
 
Nini chanzo cha ma black kujikuta america,haiti,jamaica?nani aliwapeleka huko wa africa wenzetu nae tumfungulie mashtaka

Black people are not only native to Africa, but also some other tropical regions especially the Carribean. There is one tribe of black Carribeans that i find quite interesting; they are naturally blonde!
 
nice answr sijaona mahali ambapo ametoa hukumu ya kupigwa mawe hadi kufa

nikuelimishe kitu na usichokijua hayo unayoyasoma ni mapokeo ya miaka mingi sana nyuma na hizo sheria zilitumika kipindi hicho

kwa sasa dunia imebadilika sana ndio maana ndugu zetu wana agano jipya ambalo linasaidia sana katika kuendana na wakati

Jua kwamba hiyo Quran imeandikwa na binadamu si lazima kufuata kila kitu tukae chini na tujaribu kuendana na wakati ndugu zangu

Waislamu wameamriwa wanapo tofautiana katika jambo linalohusu dini yao basi warudi kwenye kitabu Chao "Quran" na kwa Mtume wao "mafundisho yake" sasa hili la kupigwa mawe kwa wazinifu ambao wana ndoa ufafanuzi wake uko katika maneno ya Mtume muhammad (s.a.w)

Mfano waislamu katika quran wameamrishwa kusali na kutoka zakka bila ya ufafanuzi watu wasali vipi, wakati gani, uwe vipi wakati unataka kusali, vivyo hivyo zakka haikusema vitu gani vinafaa kutolewa zakka, kwa hisabu gani, watu gani Wa kupewa n.k.

Ni maneno ya Mtume ndio yamekuja kutufahamisha mambo ya sala na zaka.

Kuhusu Quran kuwa ya kale Mimi sidhani kama akili zako ziko sawasawa! Hivi maneno ya mungu yuko binaadamu ambae anaweza kuyarekebisha!!!??? Kama maneno ya mungu yaje yarekebishwe na binaadamu jee huyo atakuwa mungu!!???

Mungu mwenyewe hawezi kushindwa kumleta Mtume mwengine na kitabu chengine pindi akiona kilichopo sasa hakiendani na wakati, kwa kuwa Quran ni maneno ya mungu basi siku zote yanaendana na wakati.

Mfano mzuri ni huu wa kutokukatwa kiganja cha mkono kwa mtu mwizi na badala yake anafungwa gerezani au kuuliwa na wananchi jee umeona matukio ya wizi kupungua au kuongezeka!!??? Yanaongezeka ni kwasababu mitaani hakuna mfano wa mtu aliekatwa mkono ili kuwapa hofu wale wote wenye nia ya kuiba.

Fanya uchunguzi wako katika nchi ambazo zinafuata sheria za kiislamu jee vitendo vya uhalifu viko juu?
 
nice answr sijaona mahali ambapo ametoa hukumu ya kupigwa mawe hadi kufa

nikuelimishe kitu na usichokijua hayo unayoyasoma ni mapokeo ya miaka mingi sana nyuma na hizo sheria zilitumika kipindi hicho

kwa sasa dunia imebadilika sana ndio maana ndugu zetu wana agano jipya ambalo linasaidia sana katika kuendana na wakati

Jua kwamba hiyo Quran imeandikwa na binadamu si lazima kufuata kila kitu tukae chini na tujaribu kuendana na wakati ndugu zangu

Kuhusu wakristo kuendana na wakati kupitia agano jipya na kuliacha la kale hiyo ni wao na matakwa yao hivyo waislamu haiwahusu.

Kwa kuwa wakristo viongozi wao hawaowi hivyo viongozi wa kiislamu nao wasiowe!!!???

Wakristo wanawafanya baadhi ya wanawake wao wakae TAWA jee na waislamu nap wafanye hivyo!!!????

Au mjadala unaoendelea sasa wa kuruhusu ndoa za jinsi moja, na waislamu wawe na mjadala huo huo!!???

Mtume aliwaambia wasiokuwa waislamu wakati huo:-

Sema: Enyi makafiri! (Al-Kafiroon 109:1, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Siabudu mnacho kiabudu; (Al-Kafiroon 109:2, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. (Al-Kafiroon 109:3, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Wala sitaabudu mnacho abudu. (Al-Kafiroon 109:4, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. (Al-Kafiroon 109:5, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (Al-Kafiroon 109:6, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Maneno ya Mtume Muhammad ndio maneno ya waislamu wote duniani hivyo wakristo waache waendane na wakati.

Lakini yesu mwenyewe alisema kuwa SIKUJA KUITENGUA (kuiondoa)TORATI NA MANABII, BALI KUTIMILIZA, BALI KUTIMILIZA! Hivyo kwa maneno haya sidhani Kama kuna andiko lolote yesu kaliondoa na kusema yake yeye tu ndio yafuatwe.

POLEEE KWA KWENDA NA WAKATI NA KUYAACHA YA MUNGU.
 
the famous Arab philosopher Ibn Khaldun, expressed racist attitudes toward black Africans: “The only people who accept slavery are the Negroes, owing to their low degree of humanity and their proximity to the animal stage,” Khaldun wrote. Another Arab writer, of the 14[SUP]th[/SUP] Century, asked: “Is there anything more vile than black slaves, of less good and more evil than they?”
 
Uislam unaruhusu utumwa live hata mtumej alikuwa na watumwa

....Wayahudi pia walikuwa Utumwani Misri ! ....na kwa sasa kuna kitu kinaitwa 'human trafficking' amabayo inafanywa na watu hivyo hivyo !
Ukiwa Muislaam huwezi kuwa Mtumwa tena........hiyo status inakatika automaticaly ! ....miongoni mwa Waumini wa kwanza wa Uislaam ni watumwa. na matajiri walichukia Uislaam kwa sababu ya kukumbatia wanyonge na watu wenye asili ya utumwa, kisha kuwaambia (hao matajiri) kuwa hao ni nduguzao ! ILAN RAMON
 
Last edited by a moderator:
Black people are not only native to Africa...There is one tribe of black Carribeans that i find quite interesting; they are naturally blonde!
Kufuatana na world history ya kweli ni kuwa watumwa wa kwanza kufikishwa Carribian walikuwa ni Wazungu (Wa-Slav) sasa hivi nchi yao inajulikana kama Slovania.

Tatizo ni hali ya hewa ilikuwa ikiwasumbua na baadhi ya mabwana wa utumwa hawakujisikia raha kuwatumikisha Wazungu wenzao ndipo likazuka wazo la kuwachukua Waafrika hasa hasa Waangola.
..hivyo unaweza kuunganisha kwa nini wana blonde eyes.

Kwa upande wa Brazil waliofikishwa kule wengi wao ni kutoka Nigeria/Ghana kutoka katika makabila yao makubwa.

Asilimia 40 ya watumwa wote walikuwa ni Waislamu hivyo walitumiwa barua ya ku-revolt kama aina ya Jihad waka - revolt na kurudi Nigeria.

Walifungua Msikiti ambao mpaka leo upo unaitwa Brazilian Mosque.

Achana na historia za Wamishenari na usome historia sahihi ya dunia.
 
Back
Top Bottom