Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Nipita tu hapa, wenye masilahi yao tunawachungulia kwa mbali...Mtenvu and the like
anasubiri mabikra 60 na nguvu ya kulala na wanawake mia hahahahaaaahaaa wapi kipozeo
Faiza Fox!! Usichokijua ni vyema ukakaa kimya!! Sio lazima uchangie mada!
Habari kama hizi ukijakuona zimetoka Public ujue watu walishaumia sana!! Binafsi nimeishi na ninaishi nchi za kiarabu, lakini kwa ujumla nchi hizi kwa upande wa wafanyakazi wa ndani (housemaids, houseboys na madreva wa nyumbani) wanaumizwa mno!! Nchi ambayao kidogo inafuatilia na ina unafuu kidogo na sheria zinafanya kazi ni Qatar. Naongea hivi nikiwa na uzoefu wa Gulf countries karibia zote nazitembelea!!
Kwa taarifa yako agencies za Kenya zimefungwa pale Saud Arabia, nakushauri fuatilia ni kwanini!!
Siungi mkono kutumia njia za panya, ni vyema unapotaka kuja Gulf, ufuate sheria zote, otherwise....!!
wewe punguani kweli unakwenda oman kufanyaje wakati hapa hapa tanzania wafanyakazi wa ndani wanayanyaswa zaidi ya watumwa.
kesi zimejaa mahakamani mpaka wengine wanauliwa kwa vipigo.
Mnawaita mabeki tatu mnawatoa iringa, singida mnawageuza watumwa.
Kwani haukujua mleta mada anasumbuliwa na chuki dhidi ya Uislam nimekushangaa sana umekurupoka kumjibu FaizaFoxy umepanda basi hujui muelekeo wake.Mnakoelekea, mi simo!! Kwa kawaida huwa sijadiri udini, kwanza najutia kucomment kwenye mada hii!!
Hii bakora mujarabu...wewe unasubiri nini au mapadri wadhungu ???
Tanzania
St Michael's Catholic Boarding School, Soni, Tanzania
A prominent United Kingdom member of the order, Fr Kit Cunningham together with three other priests were exposed after Cunningham's death as paedophiles While at Soni, Cunningham perpetrated sexual abuse that made the school, according to one pupil, "a loveless, violent and sad hellhole". Other pupils recall being photographed naked, hauled out of bed at night to have their genitals fondled and other sexual abuse
SOMA ZAIDI HAPA Catholic sex abuse scandals uncovered in Africa - Afrik-news.com : Africa news, Maghreb news - The african daily newspaper
Tusisahau kuwa Utumwa ulipigwa marufuku officially huko Oman in 1970 hivyo watu weusi from Tanzania na ZNZ bado wapo huko na kwa sababu ya slave mentality wanawaambia watoto wao kuwa wao kazi yao ni kuwatumikia waarabu weupe. waarabu weupe nao wanawaambia wtotowao kuwa waarabu weusi kazi yao ni kuwatumikia wao
so you know the drill hawa toka huku Bongo wakipelekwa kule
![]()
Wewe kauzu kweli unataka kila mtu awe mateka wa Mbowe na Dr.Slaa, hakuna serikali yeyote duniani itakuwa kuletea pesa ya kula bila kufanya kazi, tafuta kazi ufanye siyo kulalamika tu.Namshangaa hata mimi asishangae hapa hapa tuna watumwa wa fikra na matumbo kama wewe ritz anashangaa utumwa wa nguvu oman.
Apo kwenye bold chama chako ndio chanzo kuwanyima elimu watz kwa hofu ya kuwafungua kiakili na kuhusu kesi kujaa mahakamani ni kosa la ccm yako kutokujali utawala wa haki na sheria usijitekenye na kujichekesha mkuu mchawi unamjua sema ukija kwenye huo utumwa wa fikra na tumbo ndio basi tena
Kwani haukujua mleta mada anasumbuliwa na chuki dhidi ya Uislam nimekushangaa sana umekurupoka kumjibu FaizaFoxy umepanda basi hujui muelekeo wake.
Huo ushenzi hata Tanzania upo watoto wadogo wa kike mnawatumikisha mshahara mnawapa chakula tu, badala ya kupambana na matatizo nchini kwenu mnakimbilia matatizo ya Oman miafrika bana.Tena mwandishi kaandika kwa staha sana. Amekuwa very neutral lakini uweli hauko hivi. Nilikuwa Nairobi wiki iliyopita ndipo niliposikia hizi habari kwa upana wake.
Wafanyakazi wananyanyasika si kwa kufanya kazi. Wanabakwa kwenye zile familia wanazozifanyia kazi. Hawana ruhusa ya kusema. Wanakuwa sodomized kwa nguvu ndani ya yale majumba ya waarabu na tena wanatishiwa kwamba habari zile zikisikika, majambia yatahalalisha shingo zao. Wako ugenini wanafanya je?
Hawana confidence na local authorities kwa sababu karibu kila familia matendo haya ni halali.
Wat wa JF, hasa ukiangalia wenye ubia na uarabu ndio wanaobisha na kutetea ushetani huu lakini hii ndiyo kwlei.
NAENDA IBADANI.
Wewe punguani kweli kichwa kibovu anacho baba yako, sasa unapolia lia kuwa mimi simo humo ulikuwa unamlia lia nani, wewe mnafiki sana, nakujibu kutoka na majibu yako kwangu huo ndiyo utaratibu wangu.Sijaona mahali popote palipoandikwa neno "uislamu" Ritz. Mambo ya unyanyasaji hayana udini ni roho ya muhusika mwenyewe/mnyanyasaji.
Wewe Ritz kichwa chako ndo kibovu hadi ukaingiza udini kwenye manyanyaso!!
Nimesema mi niko Gulf na nchi 90% nazitembelea, lakini niaksema kati ya hizi nchi ni BORA Qatar, kwani hawa Qatar hawana dini?
Jadirini mada msaidie ndugu zenu, huu udini, ukanada, ukabila na urangi HAVITAWAFIKISHA POPOTE!!
Wewe wakitajwa wazungu unavua kila kitu.