Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Language barrier inatufanya tuonekane rudy au lazy, lakini sio kibari cha kuwatumikisha kama watumwa. Hao jamaa huko Oman ndiyo malazy, wa kushindwa kusafisha mavi yao na kuhitaji watumwa toka Bongo.
 
Kusema ukweli ni mpenzi wa mungu mi nimefurahishiwa na hayo mavazi yao ni safi na tafauti ya kwetu viraka mitumba na hata sabuni zina tushinda ndo maisha bora na hao watumwa wana kula kuku kwa mrija na uliobaki ni uhusda na kijecho cha raha zao za omani sisi ni omba omba mpaka kiama kifiki
 
Hayo ni matope yaliyojazwa na mkoloni ndani ya akili za wa bongo wengi mwarabu hakuhusika na mtumwa ila ni ktk kumpaka matope
 
Kwa sababu ukisoma history hii hii ya kutungwa mtumwa kazi yake kubwa ni kulima ktk mashamba makubwa kama suger cofee tobbaco sasa mtu anioneshe shamba la mwarabu
 
Kama nafsi zetu hazitusuti wenyewe basi ni bora tungaliwataja wote ambao walikuwa ni vinara Wa kubwa ambao walianzisha biashara ya utumwa kabla ya hata hao waarabu

Hawa hapa ndio Wa kwanza kabisa kuanzisha hii biashara


Christians Organise Slave-Trade | Slavery | Books on Islam and Muslims | Al-Islam.org

Au pia msome professor Tony Martin huyu anaeleza vizuri ninani hasa waanzilishi wa biashara ya utumwa duniani!!??

Labda kwa kuwa waanzilishi wa hii biashara ya utumwa ni kabila ambalo lilimzaa mungu Wa wakristo Yesu hivyo wao walifanya jambo jema kwa kuwauza waafrica utumwani.
 
Tuanzie kuwashtaki machifu wetu ambao walilipwa na kusaidia kukusanya wafuasi wao kukubali utumwa bila ya ku resist.
Any way huu ni unafiki tu Ghadafi aliwahi kupendekeza AU iandae madai kupeleka nchi za ulaya idai fidia za biashara ya utumwa na ukoloni barani Afrika.
Wafrika kama kawaida yao wakaingiza udini ati tudai waarabu kwanza ...Ghadafi akawambia tuanze ulaya then ndio tupata precedence ya kudai wengine. Hawakutaka kuwaudhi mabwana wa ulaya.
Ghadafi yeye akaikalia Italy kuwalipa fidia ya ukoloni wao Libya na Italy wakailipa libya fidia na zile familia zilizo athitika nao wakalipwa.
Sisi tunakalia kuyaangalia mambo haya ki udini dini na huu ndio ujinga tulio nao.
 
Unatoa msamaha halafu unajirudisha tena kitanzini. Hata shetani atakushangaa. Ona hii

This is a doctored photo, how come those buildings are inside the Western style old ships. The arabs in that photos are imposed beside the slaves. This picture is some where with showing Wazungu beside those slaves. The buildings are not even Arabic Stone town buildings just check those windows on the left.
 
njaa zenu ndio zinawapeleka oman..tena mkijua mnaenda kua house grl..na mibunge yenu ndio wenye kampuni za kuwapeleka huko..jishtk mwenyewe kwanza
 
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa waafrica walipokutana Durban 2001 waliitaka America na Europe kuwaomba msamaha na kuwalipa fidia waafrika kwa kufanya watumwa, sijui ni kwanini hawakuwataja waomani! Labda mtoa mada anaaweza kutupa sababu maana tayari wameshapewa habari za kutosha juu ya waarabu.

Yote kwa yote ubaya wa waarabu dhidi ya waafrica weusi hauwezi kufika hata robo kwa namna ambayo wazungu waliwafanya na wanaendelea kuwafanya waafrica.

Wazungu waliwageuza wanyama waafrika weusi na kuwaweka katika ZOO ili wazungu wenzao wageni wakienda kuwaona na kuwapa ndizi maana ni manyani.

Hapa chini nimeweka ushahidi wa niliyoyasema hivyo ingalikuwa bora kama mtoa mada na yeye atupe ushahidi wa maneno yake.



http://www.popularresistance.org/deep-racism-the-forgotten-history-of-human-zoos/

Dharau ya mwarabu kwa mwafrila ni mara kumi ya ile ya mzungu .we mjinga unatetea ----- Zoo waliyowekwa waafrila iko wapi!ilikuwa wapi? america ya leo,braZil ,colombia,ecuador,costa rica,jamaica,cuba etc waafrika wamejaa swali je waliopelekwa oman na ghuba waliishia wapi? Sudan tu waarabu wanaua waafrica mpaka leo miZuzu na elim yenu ya madrasa mnatetea tu.wakimbizi wanatoka hizo hiZo nchi zenu Za magaidi kwenda kuomba hifadhi israel mbona hawaombi saudia nchi inayosifika kuchinja watu???!!
 
Ewe punguani, hizo nchi kuanzia Saudi Arabia, UAE, Qatar, Oman, Yemen, Iraq, Kuwait, Bahrain na zinginezo ndani ya Afrika zenye kuzalisha mafuta, mimi nimeishi kwa miaka mingi sana, si wewe unaezitembelea tu". Nazijuwa kuliko unavyofikiria wewe na hata usivyofikiria. Mume wangu akiwa kama ni mshauri wa mambo yanayohusiana na uchimbaji wa Gas na Oil nimeishi nae kote huko, na nikiwa nchi hizo nimefanya kazi aina moja au nyingine kwa ujuzi nilionao, labda wewe ulipelekwa kama mtumwa?

Isitoshe, Oman kuna wanangu wa kuwatoa tumboni mwangu wanaishi na kufanya kazi hapo kama expatriates. Na mara kwa mara huwa naenda kuwatembelea, kwa hiyo, hiyo Oman, mimi nnaijuwa kinyumenyume, si wewe unaeisikia tu, just for your information.

Nimeandika juu huko, kichwa cha habari na utumbo wa habari ni vitu viwili tofauti. Wewe umeisoma mada na kuielewa au umekurupuka tu?

Jee, wewe uliyeisoma hii habari? ni wapi hapo kuna hata chembe ya utumwa? nioneshe.

Nilichoona mimi ni kuwa Serikali ya Oman inawatetea kwa kuwatengenezea mikataba ambayo wanaileta hapa kwenye mamlaka zao kuidhinishwa na wamewaongezea kiwango cha mshahara. Sasa jiulize wewe dada'ko yule hausigeli aliyeajiriwa hapa Tanzania anapata hata robo ya huo mshahara wa Oman? ana bima ya afya? halafu jiulize ni nani mtumwa? yule dada'ko aliyeajiriwa hapa kwa 40,000 na kulazwa jikoni au yule anaelipwa zaidi ya 300,000 na bima ya afya juu na anefanya kazi kwa mkataba maalum?

Mara "naishi nchi za Kiarabu", mara "nimeishi" mara "nazitembelea", yote hayo wewe huyo? jitu jiongo utalijuwa tu.

Punguani wahed.
hahaha umeishi hizo mchi zote wewe mungu wangu hadi iraq basi bila shaka we member wa al qaeda au al nusra kama sio isil
 
Faiza Fox!! Usichokijua ni vyema ukakaa kimya!! Sio lazima uchangie mada!

Habari kama hizi ukijakuona zimetoka Public ujue watu walishaumia sana!! Binafsi nimeishi na ninaishi nchi za kiarabu, lakini kwa ujumla nchi hizi kwa upande wa wafanyakazi wa ndani (housemaids, houseboys na madreva wa nyumbani) wanaumizwa mno!! Nchi ambayao kidogo inafuatilia na ina unafuu kidogo na sheria zinafanya kazi ni Qatar. Naongea hivi nikiwa na uzoefu wa Gulf countries karibia zote nazitembelea!!

Kwa taarifa yako agencies za Kenya zimefungwa pale Saud Arabia, nakushauri fuatilia ni kwanini!!

Siungi mkono kutumia njia za panya, ni vyema unapotaka kuja Gulf, ufuate sheria zote, otherwise....!!

Maneno yako sio kweli.

Oman ni bora mara 1000 kuliko hawa viongozi wa wakristo wa Tanzania.

Wezi, wanachukua rushwa, wadhulumaji, wabaguzi (wanabagua ndugu zao Waislamu), Waislamu wananyanyaswa sana hapa TZ.
 
Maneno yako sio kweli.

Oman ni bora mara 1000 kuliko hawa wakristo wa Tanzania Wezi, wanachukua rushwa, wadhulumaji, wabaguzi (wanabagua ndugu zao Waislamu), Waislamu wananyanyaswa sana hapa TZ.
Hamia afghanistan
 
Wee lofa ulioandika post hii, utumwa gani huo unaoungelea?

Hakuna utumwa Oman, nenda kaone mwenyewe vipi watu wanaishi kwa amani na undugu huko Oman.

Sio kama hapa TZ, viongozi wa Kikristo kazi yao kuwanyanyasa Waislamu na kuwadhulumu, pia wengi wenu (viungozi wa kikafiri) wezi, madhalimu, wala rushwa......
 
hahaha umeishi hizo mchi zote wewe mungu wangu hadi iraq basi bila shaka we member wa al qaeda au al nusra kama sio isil

Hizo ni baadhi tu ya nchi za Kiarabu nilizoishi huko "gulf", AlhamduliLlah, mume wangu kazi zake zimenifanya niishi au nitembelee nchi nyinyi sana duniani.
 
Bila kusahau kuwa hawa waarabu wanawaharibu nyuma dada na hata kaka Zetu.binafsi jitu linalotaka kwenda uarabuni kusaka maisha naona hamnazo.back to issue ni vema na haki hyu sultan khanis qabus )(hana mtoto) atuombe msamaha na fidia juu.mana ni ukoo ule ule wa sayyid said na kina barghash .thuwain hadi jamshidd .mbona wajerumani waliwalipa wayahudi? Wakikataa ipo siku watalipa tu
 
Bila kusahau kuwa hawa waarabu wanawaharibu nyuma dada na hata kaka Zetu.binafsi jitu linalotaka kwenda uarabuni kusaka maisha naona hamnazo.back to issue ni vema na haki hyu sultan khanis qabus )(hana mtoto) atuombe msamaha na fidia juu.mana ni ukoo ule ule wa sayyid said na kina barghash .thuwain hadi jamshidd .mbona wajerumani waliwalipa wayahudi? Wakikataa ipo siku watalipa tu

Inaonesha washakuharibu wewe pamoja na dadako..


Vipi mkuu hebu nihadisise iliingia kiulaini au alikuchubua?
 
Tena mwandishi kaandika kwa staha sana. Amekuwa very neutral lakini uweli hauko hivi. Nilikuwa Nairobi wiki iliyopita ndipo niliposikia hizi habari kwa upana wake.

Wafanyakazi wananyanyasika si kwa kufanya kazi. Wanabakwa kwenye zile familia wanazozifanyia kazi. Hawana ruhusa ya kusema. Wanakuwa sodomized kwa nguvu ndani ya yale majumba ya waarabu na tena wanatishiwa kwamba habari zile zikisikika, majambia yatahalalisha shingo zao. Wako ugenini wanafanya je?

Hawana confidence na local authorities kwa sababu karibu kila familia matendo haya ni halali.

Wat wa JF, hasa ukiangalia wenye ubia na uarabu ndio wanaobisha na kutetea ushetani huu lakini hii ndiyo kwlei.

NAENDA IBADANI.

Wee Lofa na muongo sana.

Leta ushahidi wako kama unasema kweli.
 
Hivi Oman kwa mwaka inaipa Tanzania kiasibl gani?
 
Back
Top Bottom