Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Ni jana tu nilikuwa naangalia BBC Focus on Africa waKenya waliopigana Maumau wamepewa chao sisi tunazidi kuzubaa tu.Oman si wamefungua ubalozi hapa Bongo wazee wetu nao wajikusanye wakajazwe mapesa kama wezee wa Kenya walivojazwa na waIngereza eti kwa madhara waliyoyapata enzi za kupigania uhuru wa Kenya.Sisi hapa hata ukianzisha chokochoko za kudai watakuvunja mbavu

Shida ni kuwa mfumo wetu wa uongozi unawakumbatia hao walotutenda uovu kwa kuwa hupata misaada ya kuwawezesha kutawala hebu waulize wazee wa iliyokuwa jumuia ya afrika mashariki walichokipata pale salender bridge wakiandamana kudai mafao yao ambayo serikali ya uingereza ililipa na watawala wetu wakazitia mifukoni mwao
 
Faiza Fox!! Usichokijua ni vyema ukakaa kimya!! Sio lazima uchangie mada!

Habari kama hizi ukijakuona zimetoka Public ujue watu walishaumia sana!! Binafsi nimeishi na ninaishi nchi za kiarabu, lakini kwa ujumla nchi hizi kwa upande wa wafanyakazi wa ndani (housemaids, houseboys na madreva wa nyumbani) wanaumizwa mno!! Nchi ambayao kidogo inafuatilia na ina unafuu kidogo na sheria zinafanya kazi ni Qatar. Naongea hivi nikiwa na uzoefu wa Gulf countries karibia zote nazitembelea!!

Kwa taarifa yako agencies za Kenya zimefungwa pale Saud Arabia, nakushauri fuatilia ni kwanini!!

Siungi mkono kutumia njia za panya, ni vyema unapotaka kuja Gulf, ufuate sheria zote, otherwise....!!

Ewe punguani, hizo nchi kuanzia Saudi Arabia, UAE, Qatar, Oman, Yemen, Iraq, Kuwait, Bahrain na zinginezo ndani ya Afrika zenye kuzalisha mafuta, mimi nimeishi kwa miaka mingi sana, si wewe unaezitembelea tu". Nazijuwa kuliko unavyofikiria wewe na hata usivyofikiria. Mume wangu akiwa kama ni mshauri wa mambo yanayohusiana na uchimbaji wa Gas na Oil nimeishi nae kote huko, na nikiwa nchi hizo nimefanya kazi aina moja au nyingine kwa ujuzi nilionao, labda wewe ulipelekwa kama mtumwa?

Isitoshe, Oman kuna wanangu wa kuwatoa tumboni mwangu wanaishi na kufanya kazi hapo kama expatriates. Na mara kwa mara huwa naenda kuwatembelea, kwa hiyo, hiyo Oman, mimi nnaijuwa kinyumenyume, si wewe unaeisikia tu, just for your information.

Nimeandika juu huko, kichwa cha habari na utumbo wa habari ni vitu viwili tofauti. Wewe umeisoma mada na kuielewa au umekurupuka tu?

Jee, wewe uliyeisoma hii habari? ni wapi hapo kuna hata chembe ya utumwa? nioneshe.

Nilichoona mimi ni kuwa Serikali ya Oman inawatetea kwa kuwatengenezea mikataba ambayo wanaileta hapa kwenye mamlaka zao kuidhinishwa na wamewaongezea kiwango cha mshahara. Sasa jiulize wewe dada'ko yule hausigeli aliyeajiriwa hapa Tanzania anapata hata robo ya huo mshahara wa Oman? ana bima ya afya? halafu jiulize ni nani mtumwa? yule dada'ko aliyeajiriwa hapa kwa 40,000 na kulazwa jikoni au yule anaelipwa zaidi ya 300,000 na bima ya afya juu na anefanya kazi kwa mkataba maalum?

Mara "naishi nchi za Kiarabu", mara "nimeishi" mara "nazitembelea", yote hayo wewe huyo? jitu jiongo utalijuwa tu.

Punguani wahed.
 
Ewe punguani, hizo nchi kuanzia Saudi Arabia, UAE, Qatar, Oman, Yemen, Iraq, Kuwait, Bahrain na zinginezo ndani ya Afrika zenye kuzalisha mafuta, mimi nimeishi kwa miaka mingi sana, nazijuwa kuliko unavyofikiria wewe na hata usivyofikiria. Mume wangu akiwa kama ni mshauri wa mambo yanayohusiana na uchimbaji wa Gas na Oil nimeishia nae kote huko, na nikiwa nchi hizo nimefanya kazi aina moja au nyingine kwa ujuzi nilionao, labda wewe ulipelekwa kama mtumwa?

Isitoshe, Oman kuna wanangu wa kuwatoa tumboni mwangu wanaishi na kufanya kazi hapo kama expatriates. Na mara kwa mara huwa naenda kuwatembelea, kwa hiyo hiyo Oman, mimi nnaijuwa kinyumenyueme, si wewe unaeisikia tu, just for your information.

Nimeandika juu huko, kichwa cha habari na utumbo wa habari ni vitu viwili tofauti. Wewe umeisoma mada na kuielewa au umekurupuka tu?

Jee, wewe uliyeisoma hii habari? ni wapi hapo kuna hata chembe ya utumwa? nioneshe.

Nilichoona mimi ni kuwa Serikali ya Oman inawatetea kwa kuwatengenezea miakataba ambayo wanaileta hapa kwenye mamlaka zao kuidhinishwa na wamewaongezea kiwango cha mshahara. Sasa jiulize wewe dada'ko yule hausigeli aliyeajiriwa hapa Tanzania anapata hata robo ya huo mshahara wa Oman? ana bima ya afya? halafu jiulize ni nani mtumwa? yule dada'ko aliyeajiriwa hapa kwa 40,000 na kulazwa jikoni au yule anaelipwa zaidi ya 300,000 na bima ya afya juu na anefanya kazi kwa mkataba maalum?

Punguani wahed.
Huyu punguani wahed, kaja humu na mkwara eti yeye kaishi kote huko utadhani anatujua wote humu, hii bakora uliompa ni mjarabu.
 
Hii ishu nimeisikia Kenya wakilalamika, na wamepiga marufuku Agency zao zinazojihusisha na kupeleka watu huko....

Anayesema hata Housegirls huku wananyanyasika lakini muhusika au waliokaribu wakiweza kupaza sauti atasaidiwa, na imeshatokea hivyo kwa wengi tu, labda kama hamuishi Tanzania....

Tofauti na mataifa mengi, mataifa mengi ya kiarabu bado wanaendekeza sheria za mabavu zinazomkosesha haki mnyonge...mbaya zaidi wengi wao huenda kule kwa kulaghaiwa..na wakishaingia ndio imekula kwao.

Tusiingize udini bila ya sababu, tuangalie ndugu zetu wasidhalilishwe na kunyimwa haki zao.

Weka hiyo unayosema Kenya "wamepiga marufuku kupeleka watu huko". Kumbuka hapa inaongelewa Oman, maana nyinyi hamjui tofauti ya nchi duniani mnaonesha mlisoma wakati somo la Geography limefutwa mashuleni.

Jee, umesahau Mtanzania mwenzako alivyotuhumiwa kwa kumfanya mtumwa Mtanzania mwenzake huko USA? tena alikwenda kidiplomasia!
 
Wewe punguani kweli kichwa kibovu anacho baba yako, sasa unapolia lia kuwa mimi simo humo ulikuwa unamlia lia nani, wewe mnafiki sana, nakujibu kutoka na majibu yako kwangu huo ndiyo utaratibu wangu.

Huyu punguani wahed, kaja humu na mkwara eti yeye kaishi kote huko utadhani anatujua wote humu, hii bakora uliompa ni mjarabu.

Nguruwe wewe huna unalolijua, kaa kimya!!
 
[
Ewe punguani, QUOTE] Kitimoto wewe!! Kama umwahi kuhishi haiondoi ukweli kwamba wapo watu wananyanyasika!! Pia tofautisha kazi wanazozifanya wanao (kama ni kweli wapo) na kazi nilizozitaja hapo awali, unless nao wawe wanafanya kazi hizo!!
 
Nimekuuliza nimekwambia hebu kwenye hiyo mada kama umeisoma, nioneshe ni wapi ulipoona kuna chembe ya utumwa zaidi ya kwenye kichwa cha habari ambacho mleta mada kwa kuwa haupendi Uislam na anajuwa Oman 100% ni Waislam kaamua kuchafuwa makusudi na ilahali kwenye utumbo wa habari hakuna hata chembe ya utumwa bali tumeona Watanzania wanatetewa na Serikali ya Oman.

Onesha huo utumwa uko wapi kwenye hii mada.

Au na wewe umezugwa na kichwa cha habari na kilichoandikwa kwenye utumbo wa habari kimekupiga chenga kwa kuwa kimeandikwa Kiingereza??

Jisomee kuhsu utumwa uujuwe utumwa uko wapi: https://www.jamiiforums.com/habari-...wa-kwenye-madanguro-china-4.html#post10041309

Watu wananyanyasika hapa hapa kwenu Tanzania, uliwahi kuwatetea? au hujui? watu wanachukuliwa Utumwa na kupelekwa China kwenda kuuzwa, uliwahi kuwatetea?

Punguani wahed.
 
[

Nimekuuliza nimekwambia hebu kwenye hiyo mada kama umeisoma, nioneshe ni wapi ulipoona kuna chembe ya utumwa zaidi ya kwenye kichwa cha habari ambacho mleta mada kwa kuwa haupendi Uislam na anajuwa Oman 100% ni Waislam kaamua kuchafuwa makusudi na ilahali kwenye utumbo wa habari hakuna hata chembe ya utumwa bali tumeona Watanzania wanatetewa na Serikali ya Oman.

Onesha huo utumwa uko wapi kwenye hii mada.

Au na wewe umeuigwa na kichwa cha habari na kilichoandikwa kwenye utumbo wa habari kimekupiga chenga kwa kuwa kimeandikwa Kiingerza??

Jisomee kuhsu utumwa uujuwe utumwa uko wapi: https://www.jamiiforums.com/habari-...wa-kwenye-madanguro-china-4.html#post10041309

Watu wananyanyasika hapa hapa kwenu Tanzania, uliwahi kuwatetea? au hujui? watu wanachukuliwa Utumwa na kupelekwa China kwenda kuuzwa, uliwahi kuwatetea?

Punguani wahed.
Nimeipenda hii punguani wahed... Teh teh teh
 
Wewe HNIC acha kupotosha watu. Huyu kwenye picha anapata haki zake kama mwananchi yeyote ndani ya Oman na si mtumwa. Kama ni manung'uniko ni pande zote mwajiri na mwajiriwa, kitu kikubwa yaboreshwe makubaliano (contracts) na uwepo mkataba baina ya serikali zaTZ na Oman.

As far as I know without the contract approved by Tanzania Embassy in Oman or Oman Embassy in Tanzania no one is to be allowed to leave Zanzibar AK Internationa Airport or JKNIA in Dar.

By the way I would like to challenge everyone including that guy whom he boast of knowing the Gulf Countries alot. Please do your studies and find out where in the Arab Countries has most favourable atmosphere for contract workers than Oman. Qatar, Saudi Arabia and Kuwait are the worst place for workers weather domestic or in the industrial jobs.like construction.

In Oman the house maids are provided with their own Air Conditioned room, eating the same food their employers eat and most of them if they are hard working and respectful they become like.members of the house hold. I challenge you.

I had a previledge of meeting returned house maids during flight from the gulf. Most of them complain of mistreatment but when you ask them if they were infringed of their basic rights they answer in positive terms that they get their dues in time, that they are well fed, and nice sleeping quaters some of them they even sleep the same room with the daughters of their employers! Then what happened until being sent back home? Teh teh teh, the answer all lies with the Madame fault! Ah they had touched and made the cardinal error.
Going after the Boss or the Boss son or Brother. Very few because of Boss errors and mostly are those who find out they are being employed in the rural areas and find out their jobs include hearding animals or working in the date palms or vegeetable fields.

Some mistakes are about medling in the family affairs and being nosey. In some cases is when the employer is a working couple and while they are away the housemaid looking for quick money bringing men inside the house for a quickie at a mere rate of equivalent of Tsh. 20,000/-

Of course there are also rogue employers who tend to use rough means on the maid while the wife is not at home but again if you dress like a model more than the wife revealing your assets what do you expect?

This is all over right here in Bongo we have seen human trafficking and manipulation of young ladies inside and outside Bongo. For example just search and access here:
http://www.jestinageorge.blospot.com
Listen to the audio clips of Bongo girls sold into sex slavery in china by fellow Tanzanians.

Check before you leap!*
 
Ewe punguani, hizo nchi kuanzia Saudi Arabia, UAE, Qatar, Oman, Yemen, Iraq, Kuwait, Bahrain na zinginezo ndani ya Afrika zenye kuzalisha mafuta, mimi nimeishi kwa miaka mingi sana, si wewe unaezitembelea tu". Nazijuwa kuliko unavyofikiria wewe na hata usivyofikiria. Mume wangu akiwa kama ni mshauri wa mambo yanayohusiana na uchimbaji wa Gas na Oil nimeishi nae kote huko, na nikiwa nchi hizo nimefanya kazi aina moja au nyingine kwa ujuzi nilionao, labda wewe ulipelekwa kama mtumwa?

Isitoshe, Oman kuna wanangu wa kuwatoa tumboni mwangu wanaishi na kufanya kazi hapo kama expatriates. Na mara kwa mara huwa naenda kuwatembelea, kwa hiyo, hiyo Oman, mimi nnaijuwa kinyumenyume, si wewe unaeisikia tu, just for your information.

Nimeandika juu huko, kichwa cha habari na utumbo wa habari ni vitu viwili tofauti. Wewe umeisoma mada na kuielewa au umekurupuka tu?

Jee, wewe uliyeisoma hii habari? ni wapi hapo kuna hata chembe ya utumwa? nioneshe.

Nilichoona mimi ni kuwa Serikali ya Oman inawatetea kwa kuwatengenezea mikataba ambayo wanaileta hapa kwenye mamlaka zao kuidhinishwa na wamewaongezea kiwango cha mshahara. Sasa jiulize wewe dada'ko yule hausigeli aliyeajiriwa hapa Tanzania anapata hata robo ya huo mshahara wa Oman? ana bima ya afya? halafu jiulize ni nani mtumwa? yule dada'ko aliyeajiriwa hapa kwa 40,000 na kulazwa jikoni au yule anaelipwa zaidi ya 300,000 na bima ya afya juu na anefanya kazi kwa mkataba maalum?

Mara "naishi nchi za Kiarabu", mara "nimeishi" mara "nazitembelea", yote hayo wewe huyo? jitu jiongo utalijuwa tu.

Punguani wahed.

faizafoxy punguza jazba hasira hasaidii ndugu yangu jibu kwa hoja hachana nae
 
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa waafrica walipokutana Durban 2001 waliitaka America na Europe kuwaomba msamaha na kuwalipa fidia waafrika kwa kufanya watumwa, sijui ni kwanini hawakuwataja waomani! Labda mtoa mada anaaweza kutupa sababu maana tayari wameshapewa habari za kutosha juu ya waarabu.

Yote kwa yote ubaya wa waarabu dhidi ya waafrica weusi hauwezi kufika hata robo kwa namna ambayo wazungu waliwafanya na wanaendelea kuwafanya waafrica.

Wazungu waliwageuza wanyama waafrika weusi na kuwaweka katika ZOO ili wazungu wenzao wageni wakienda kuwaona na kuwapa ndizi maana ni manyani.

Hapa chini nimeweka ushahidi wa niliyoyasema hivyo ingalikuwa bora kama mtoa mada na yeye atupe ushahidi wa maneno yake.

http://www.popularresistance.org/deep-racism-the-forgotten-history-of-human-zoos/
 
Back
Top Bottom