Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
OK nimekusoma Mkuu
May be its just my imagination
Mie sio mchangiaji Sana jf hasa humu MMU, but truth be told
Most times nalog in kama guest just to update myself and in several occasions have Noticed either ur comments or threads have a negative opinions againts women/gals
Am sorry to misinterpret you
But honestly mostly that's is how I read about you
Ciao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaah mkuuu Negative huenda kwa mada inayofanya Negative istahili .

Sasa km mwanamke kazungumziwa Uzuri... Ivi kweli unaanzaje kumsema vibaya???? .

Sijawah koment neg ktk mada chanya juu ya mwanamke .

Labda unaweza niletea koment ambayo nmeongea Neg hata paspostahili???

Ukiwa mrefu ni mrefu tuu..ukiwa mfupi ni mfupi...
Ubaya nipale unapoona mtu mfupi anataka aitwe mrefu.

Ifike mahali, Ondeen mawazo hayo.. Nyeusi ibaki kua nyeusi..nanyeupe ibaki kua nyeupe.

Tatizo linaanzia km alivosema ndugu GuDume alafu mjifanye kua alichoandika kaandika Kwa chuki.
 
haahahahah eti anatudanganya amelelewa vizuri,huku JF bana,tunadanganyana sana,wenginetunawasoma miandiko yenu,lol, embe huzaa embe sio nanasi,ukilelewa vyema na wazazi unatoka a well rounded person,huo ndio ukweli…h
Ni kweli mtu aliyelelewa vizuri ana staha, anajua wapi pa kusema wapi pa kunyamaza, anajua ni neno gani aseme wapi na wapi aseme nini hata kama ni ukweli. Mtu anayetapika kila anachowaza mradi aguse hisia za mtu fulani anakuwa na shaka kwenye saikolojia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti unaongea ukweli,ukweli upi?..wewe kwa nini unaona uongee 'ukweli' kwenye topic zinazoponda wanawake pekee yake….??

Tiba??? hahahhaaaaaaaaa wewe pamoja na kuambiwa constantly umuone 'shrink' hufanyi hivyo,afu una uthubutu wa kuwaambia wengine watafute tiba...

BORA DUNIA ITUFUNZE,SIO WEWE ndio utufunze!!!!...HATUNA LA KUJIFUNZA KUTOKA KWAKO!!…so cheo cha kutufunza ujivue….mxiewww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseee aya mi nmesema. Na maneno yangu yatabakia ivoivo .
 
Kikubwa tufikie hatua tukubali kuwa hapa JF tupo watu wa aina tofauti tofauti na siku zote mtu usiemjua usijiwekee expectations kuwa huyu yupo hivi ama vile.

Hapa tupo watu wa aina tofauti sana kuanzia umri, tabia, nia na malengo ya kuwepo, wasomi, wasiosoma na aina nyingine tofauti kabisa.

Kuna wengine humu ndani sio watu huwezi kuamini. Yaani sio binadamu kama ID zinavyoonyesha na jinsi tunavyo interact nao.


Chamuhimu ni kufuata wewe kilichokuleta.

Kama umefata papuchi wewe mwanaume alafu ukakutana na mwanamke aliefata nae mambo hayo mkazinguana huna haki ya kumsema mwenzako vibaya maana na wewe ndio wale wale tu.

Mtu unajisifu umetongoza wanawake kibao JF alafu unaanza kutaja tabia zao kwa kuwachafua bila kujiangalia wewe kama usingekuwa mchafu ungezijuaje hizo tabia chafu za hao wanawake?

Ungekuwa sio mhuni na mzinzi ungetongoza vipi hao wanawake wote na kujua tabia zao.

Nasikiaga mnasema 'nyani haoni kundule' sielewagi maana yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wewe mdogo wangu, nzi anatua mahali pasafi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, kuoa mwanamke single mother ni sawa na kununua kiwanja bila kupewa hati, mwanaume rijali mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother.hata wewe mwenyewe huwezi kukubali mtoto wako wa kiume akioa single mother

Sent using Jamii Forums mobile app

Mhh usiseme hivo Kakangu huyajui ya mbeleni.... Sidhani kama kuna mwanamke anaefurahia na kutamani kuishia kuwa Single Mother, wengine wamepitia mateso. ingekua binti yako ndo Single mother ungekua na mawazo hayohayo kwamba hastahili kuolewa? Mungu atunusuru kwa hilo. Nisamehe kama nimekukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji28][emoji38][emoji38]acha kabisaa
Gudume kaleta balaa toka jana Tumebanana umu htr alafu kibaya zaidi Gudume mwenyewe kaingia kusikojulikana, kasababisha mpka ID zingne zipotee humu, jamani wadada sisi madananda msitunyime, mnyimeni Gudume peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom