Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,410
6,067
Nimegundua Watu wa Aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.

Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.

Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa

Karibuni

1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
  • Anapendwa Mno
  • Anaheshimika Mno
  • Amesaidia Vijana wengi Ajira
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam

2.Laswai :(Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
  • Anaheshimika Mno
  • Multi Trade
Anaishi Moshi na Arusha.

3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
  • Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
  • Keys Hotel and apartments (London)
  • Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
  • Kilimanjaro Marathon Host and owner
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
  • utitiri wa Vituo vya Mafuta
  • Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
  • and other Business.

5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.

Update:

6.Sunda: Mining and other Investment

7.Benson :Electronics Internet and Mobile Networks

7. Mrema: Impala Hotels,Ngurdoto Hotel,Naura Springs

8.Mathias Manga: Mining esp.Tanzanite

9.Willy Chambulo..aka Kaburu: Tourism and Hospitality ( Kibo Guides and Hotels)

10.Michael Ngaleku Shirima: Aviation ( Precision Air)

11.Pandit: Tanzanite

12.Kanunga;Tanzanite and Mining

13.Mbise: Hotels and Accomodation

14.Shidollya Tours;Tourism and Hospitality

15.Charles Makoi: Hotels and Hospitality

16.Alex Masawe (*******) tumweke au tumtoe

17.Mawalla Advocate; lawyers and Advocates

18.Gody : Tanzanite and Gemstone

19.Curthbert Swai: Ahsante Tours Moshi

20.Seif : cultural heritage( Vinyago na urembo)

21.samuel Lema (Northen Engineering) (Elerai Construction)

22.Lema (K Vant)

23. Davis Mosha (Delina )

naendelea kuzibadilisha kadri itakavyoonekana,inaonekana Makoi watu wanaona kashachoka,kuna kina Njake sijaona katajwa humu,list ikifika watu 100 wanaoeleweka tunaanza kuwapanga kwa number from baba lao,to upcoming Bilionairs.

Moshi naona mmezubaa wengi hapa ni matajiri wa arusha,siwaoni kina maleko,boisafi na wengineo nashindwa kuwachomeka maana sijui vizuri hali zao kwa sasa...pls update me

Karibuni
 
7.Mrema
. Impala Hotels
. Naura Springs Hotel
. Ngurdoto Mountain Lodge, n.k

8. Sunda
. Tanzinite mines owner/ Dealer
. Mount Meru/ Novel Hotel
. Owner of several Real Estates in Arusha, Kilimanjaro na Manyara

9. Benson Group
.....
Mrema ni tajiri kweli kweli,nikiicheki ngurdoto nachokaga acha Impala,na Naura springs,sijui anazimanage vp yule mzee,

Sunda Hails off,mzee wa Mawe,niliwahi kukutana nae kwenye rally Moshi kazungukwa na watu nane pipe nje nje ,mahummer Range ya hatari,Miaka ileee...

Benson ni another Bilionea ambae tokea nakua namsikia,ana mtandao wa simu wa smart,benson online,maduka makubwa ya electronics and so on ila mkuu wajanja na wababe kama wakina phares walimuonea sana enzi zao na kina banjoo....hao ni consistent Bilionares
 
Nimegundua Watu wa Aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.

Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.

Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa

Karibuni

1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
  • Anapendwa Mno
  • Anaheshimika Mno
  • Amesaidia Vijana wengi Ajira
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam

2.Laswai :(Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
  • Anaheshimika Mno
  • Multi Trade
Anaishi Moshi na Arusha.

3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
  • Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
  • Keys Hotel and apartments (London)
  • Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
  • Kilimanjaro Marathon Host and owner
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
  • utitiri wa Vituo vya Mafuta
  • Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
  • and other Business.

5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.

6............................................

7........................................

Karibuni
Namba 3, Ndesamburo ndio tajiri hapo
 
Mrema ni tajiri kweli kweli,nikiicheki ngurdoto nachokaga acha Impala,na Naura springs,sijui anazimanage vp yule mzee,

Sunda Hails off,mzee wa Mawe,niliwahi kukutana nae kwenye rally Moshi kazungukwa na watu nane pipe nje nje ,mahummer Range ya hatari,Miaka ileee...

Benson ni another Bilionea ambae tokea nakua namsikia,ana mtandao wa simu wa smart,benson online,maduka makubwa ya electronics and so on ila mkuu wajanja na wababe kama wakina phares walimuonea sana enzi zao na kina banjoo....hao ni consistent Bilionares
List ni ndefu ila km ulivyosema wengi hawafahamiki. Kuna kina mzee Mbisse mwenye Meru inn, zipo nyingi tu hizo ghorofa hapo mjini, kuna kina Jandu, Shidolya(Tours, Bureau de Change moshi na Arusha), n.k
 
Mrema ni tajiri kweli kweli,nikiicheki ngurdoto nachokaga acha Impala,na Naura springs,sijui anazimanage vp yule mzee,

Sunda Hails off,mzee wa Mawe,niliwahi kukutana nae kwenye rally Moshi kazungukwa na watu nane pipe nje nje ,mahummer Range ya hatari,Miaka ileee...

Benson ni another Bilionea ambae tokea nakua namsikia,ana mtandao wa simu wa smart,benson online,maduka makubwa ya electronics and so on ila mkuu wajanja na wababe kama wakina phares walimuonea sana enzi zao na kina banjoo....hao ni consistent Bilionares
Sunda amerudi kwenye chati vibaya sana shimo lake limetoa mawe mengi sana siku za karibuni ila sasa kakuwa na ameamua kuwa na meneja so yale mambo ya wapambe na kuzunguka na hela kwenye starehe ameacha, pia amekuwa sasa.
 
Back
Top Bottom