Orodha mpya ya matajiri Tanzania kulingana na utajiri wao,Bakhresa ashuka nafasi moja, wajua nani kamshusha?

Kasinja jr

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Messages
866
Likes
1,427
Points
180
Kasinja jr

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2017
866 1,427 180
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu sera za kibepari zinatawala, ujamaa unapewa kisogo.
Mtu kama ni mbunifu, ana nidhamu ya kutofuja pesa na anafanya kazi sana kwa nini asiwe tajiri? Utandawazi unasaidia ndiyo maana leo tunaweza kuwatambua mabilionea wakubwa ambao wanastahili pongezi kwa hatua walizopiga. Tusisahau kuwa wanaibeba nchi kwa ulipaji kodi.
1. Dk.LUIS L. SHIKA
Anamiliki Majumba 12 mjini Rostov Rusia, Ana kiwanda kinaitwa Lunceford mjini moscow ambacho kimeajiri watu 6000, anamiliki ndege binafsi 2, na maghali ya kifahali 34,
hela iliyo kwenye account ni million 750 za dolla za kimarekani,
2. SAID BAKHRESA
Jina lake kamili ni Said Salim Awadh Bakhresa. Jarida la Forbes mwaka jana, lilimuorodhesha miongoni mwa matajiri 40 Afrika kwamba anamiliki utajiri wenye thamani ya dola milioni 620 (karibu shilingi trilioni moja). Hata hivyo, inadaiwa kuwa tabia ya usiri wa Bakhresa inafanya mali zake zisijulikane sana, ila ni tajiri zaidi ya kiwango hicho.
Ndiye mmiliki wa makampuni ya Bakhresa yanayotoa bidhaa zenye chapa ya Azam ambazo zinauzwa nchi mbalimbali Afrika. Ana viwanda vya nafaka na vinywaji, vyombo vya usafiri wa majini, uuzaji wa chakula, bidhaa za plastiki na kadhalika. Ndiye mmiliki wa Klabu ya Azam FC.
3. GULAM DEWJI
Huyu ni baba wa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji ‘Mo’. Jarida la Forbes mwaka jana lilimtaja kuwa na utajiri wenye thamani ya dola milioni 560 (karibu shilingi bilioni 900). Mafanikio yake kibiashara yalianza mwaka 1970. Kiwanda chake cha 21st Century Textiles, kinatajwa kuwa moja ya viwanda vikubwa vya nguo Afrika.
4. ROSTAM AZIZ
Inadaiwa anamiliki utajiri wenye thamani ya dola milioni 420 (shilingi bilioni 672). Anamiliki karibu asilimia 40 ya hisa Kampuni ya Vodacom Tanzania. Ni mmiliki wa Kampuni ya Caspian inayohusika na uchimbaji wa madini na ukandarasi nchini Tanzania, nchi kadhaa za Afrika na Asia.
5. DK. REGINALD MENGI
Anatajwa kumiliki utajiri wenye thamani ya dola milioni 280 (karibu shilingi bilioni 450). Ni mmiliki wa kundi la makampuni ya IPP, yanayomiliki vyombo vya habari, viwanda, migodi ya dhahabu, Tanzanite na kadhalika.
6. ALI MUFURUKI
Utajiri wake unatajwa kuwa na thamani ya dola milioni 110 (shilingi bilioni 176). Ni mmiliki wa kundi la makumpuni ya Infortech Investment, inayomiliki maduka yanayouza vitu vya rejareja Tanzania na Uganda. Vilevile ana vitega uchumi vingine.
7. MUSTAFA SABODO
Ni mfayabiashara mkubwa sana nchini anayemwaga mamilioni kwa misaada. Wakati wa kuanzishwa kwake, aliipa Taasisi ya Mwalimu Nyerere shilingi milioni 800, akasaidia shilingi milioni 100 katika mradi wa kustawisha mimea jamii ya kunde. Vilevile alikipa Chadema shilingi milioni 300. Inadaiwa kuwa utajiri wake unazidi shilingi bilioni 100. Kampuni yake ya Khoja Shia Itnasheri Jamat (KSIJ), ndiyo yeye tenda ya kujenga maeneo ya maegesho ya magari Posta, Dar es Salaam, mradi wenye thamani ya shilingi bilioni 5.6.
8. ABDUL-AZIZ ABOOD
Kiwango chake cha utajiri hakiwekwi sana wazi lakini anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 10 wanaotikisa nchi kwa sasa. Anamiliki viwanda kadhaa mkoani Morogoro, vyombo vya habari, Abood Radio na TV. Anamiliki mabasi ambayo yanafanya safari zake kati ya Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam. Ni Mbunge wa Morogoro Mjini (CCM).
9. MICHAEL SHIRIMA
Ni mmiliki mkuu wa Shirika la Ndege la Precision ambalo linafaya safari zake ndani ya Tanzania pamoja na nchi mbalimbali za Afrika. Ana asilimia tano ya hisa katika Beki ya I&M (Tanzania), vilevile ni memba katika bodi ya wakurugenzi wa benki hiyo yenye thamani ta shilingi bilioni 200. Hisa zake Precision ni asilimia 42.91.
10. YUSUF MANJI
Kiwango halisi cha utajiri wake bado hakifahamiki lakini anafahamika kama mmoja wa mabilionea wakubwa nchini Tanzania. Ni mmiliki wa makampuni ya Quality Group na majengo ya Quality Centre, Quality Plaza na kadhalika. Ni Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga na utajiri wake umeifaya timu kutotetereka tangu alipoanza kuiongoza.
11. MOHAMMED DEWJI
Baba yake anashika nafasi ya pili katika orodha hii. Dewji au Mo kama anavyoitwa na wengi, anatajwa kuwa bilionea nambari moja katika orodha ya mabilionea vijana Afrika (orodha hiyo tuliitoa wiki iliyopita). Ni mmiliki wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) ambayo inatengeneza faida ya shilingi bilioni 136
 
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
3,020
Likes
2,139
Points
280
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
3,020 2,139 280
sawa.
 
kawombe

kawombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Messages
3,200
Likes
1,679
Points
280
kawombe

kawombe

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2015
3,200 1,679 280

Na ww je?
 
dem boy

dem boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
2,548
Likes
3,162
Points
280
Age
57
dem boy

dem boy

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
2,548 3,162 280
Kuwa wa kwanza itapendeza zaidi..
 
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Messages
3,966
Likes
2,223
Points
280
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2014
3,966 2,223 280
Naam?
 
WirelessBrain

WirelessBrain

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
939
Likes
1,230
Points
180
WirelessBrain

WirelessBrain

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
939 1,230 180
Ngoja akukute mwenzako bashite na babaake..
 
E

elias maswe

Senior Member
Joined
Jan 8, 2017
Messages
168
Likes
172
Points
60
Age
32
E

elias maswe

Senior Member
Joined Jan 8, 2017
168 172 60
Ana utajiri wa dollar billion 20 sawa na zaidi ya Tsh trillion 40 za kitanzania
 
Macos

Macos

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Messages
1,833
Likes
1,012
Points
280
Macos

Macos

JF-Expert Member
Joined May 12, 2008
1,833 1,012 280
Duuh jamaa wewe kimeo
Shia ithna ashiri ni kampuni ? Pole yako
 
faru john junior

faru john junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Messages
1,377
Likes
1,193
Points
280
faru john junior

faru john junior

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2016
1,377 1,193 280
Mbona hamjampa like hata moja au hamjaelewa mada
 
Mtengwa II

Mtengwa II

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
855
Likes
1,296
Points
180
Mtengwa II

Mtengwa II

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
855 1,296 180
Mzee wa watu kalala muda huu
 
M

mwako

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
139
Likes
72
Points
45
M

mwako

Senior Member
Joined Jul 11, 2015
139 72 45
Khoja Shia Ithnaasheri Jamat,si kampuni,ni jumuiya ya kidini ya waislamu wa shia Ithnaasheri,ni vizuri kama kitu hukijui ujisumbue kuuliza laa sivyo utaonekana kituko. ..
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Sahivi anaongoza jerry muro
 
Mwamba028

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Messages
3,673
Likes
1,477
Points
280
Mwamba028

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2013
3,673 1,477 280
Huu uzi unazngua,,huyo shika ndo anakunyw chai kwny vijiwe, maza fantaa
img-20171115-wa0001-jpg.632482
 
Forum statistics

Threads 1,236,462
Members 475,125
Posts 29,258,766