Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,352
- 69,046
Sahihi, Mwingine hata chumba cha kupanga elfu 50 Tu Hana lakini anangangania kufanya Sherehe ya ndoaKama huwezi gharamia sherehe ya harusi yako acha kuoa usisumbue watu.

harusi hazina gharama kama ukiamua kufanya kama ya diamond na zuchun...au ya Christiano Ronaldo na georgina...If you can't afford a wedding, hairisha tu.