Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Huyu anafaa akate siti mbili maana kazidisha unene kwa raha zake.
Kwenye daladala nyingi huwa naona wakishapewa leseni hubadilisha siti na kuzifanya kuwa ndogo sana kiasi kwamba hata mtu mwenye unene wa kawaida kukaa inakuwa taabu.bongo inakuwaga vurugu asa pale konda anapotaka kuweka abiria mwingine wakat mtu amekaa siti zote mbili,na abiria anasema yeye ni mmoja awez lipia 2
Ushauri wangu huyu jamaa achukue mkopo tu anunue gari lake mwenyewe kwisha habari..
bongo inakuwaga vurugu asa pale konda anapotaka kuweka abiria mwingine wakat mtu amekaa siti zote mbili,na abiria anasema yeye ni mmoja awez lipia 2
View attachment 72795
siti za mabus zinatengenezwa kwa standard bila kujali kwamba kuna wengine wanene
Sasa angekaa siti ya dirishani jirani mbona angejikuta kapembe ka **** ndio kanagusa kiti. Ila makonda ni wajinga sometimes wanaweza kumpita mtu kama huyo wakimkuta njiani