tutawasaidiaje watu kama nishakumbana nao sana

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
FunnyPicturesofFailBlog_14_thumb.jpg

siti za mabus zinatengenezwa kwa standard bila kujali kwamba kuna wengine wanene
 
Huyu anafaa akate siti mbili maana kazidisha unene kwa raha zake.

bongo inakuwaga vurugu asa pale konda anapotaka kuweka abiria mwingine wakat mtu amekaa siti zote mbili,na abiria anasema yeye ni mmoja awez lipia 2
 
bongo inakuwaga vurugu asa pale konda anapotaka kuweka abiria mwingine wakat mtu amekaa siti zote mbili,na abiria anasema yeye ni mmoja awez lipia 2
Kwenye daladala nyingi huwa naona wakishapewa leseni hubadilisha siti na kuzifanya kuwa ndogo sana kiasi kwamba hata mtu mwenye unene wa kawaida kukaa inakuwa taabu.
 
Ushauri wangu huyu jamaa achukue mkopo tu anunue gari lake mwenyewe kwisha habari..
 
Hiyo ni mbaya sana hasa mnapokuwa mnasafiri na basi la mkoa, lenye siti mbili kwa tatu
 
bongo inakuwaga vurugu asa pale konda anapotaka kuweka abiria mwingine wakat mtu amekaa siti zote mbili,na abiria anasema yeye ni mmoja awez lipia 2

kuna mama mmoja nilipanda naye gari aliwakiana sana na konda alipoambiwa alipie siti mbili
 
Sasa angekaa siti ya dirishani jirani mbona angejikuta kapembe ka **** ndio kanagusa kiti. Ila makonda ni wajinga sometimes wanaweza kumpita mtu kama huyo wakimkuta njiani
 
Sasa angekaa siti ya dirishani jirani mbona angejikuta kapembe ka **** ndio kanagusa kiti. Ila makonda ni wajinga sometimes wanaweza kumpita mtu kama huyo wakimkuta njiani

nini kifanyaje kwa watu kama awa
 
Back
Top Bottom