Tusubiri singo ya muasi Kubenea kesho

Tusubiri singo ya muasi Kubenea kesho

Nafikiri tunahitaji kumpa muda Kubenea,bado sijaona zito la kumshuku.issue zinazohusiana na sitta ni complicated,hata sisi wote tulio against CCM kwenye hili hatupo pamoja.mpambanaji wa muda mrefu calibre ya Kubenea si haki kuhukumu kwa haraka haraka hivi.hata Zitto wengine ilituchukua muda kuunganisha dot na kuanza kumhukumu.lakini pia pengine mkuu MTM unalo la moyoni maana nakuheshimu kama moja ya magreat thinker humu!

Ndugu yangu Mtazamo...

Wakati napost hiyo post sikuwahi kuhisi kama sitaeleweka... Mara nyingi ninapost povu huwa najua!!

To be honest, my post was generic... and more so to the journalists, na baadhi ya madeiwaka wa siasa wanaobadilika-badilika with very short memories

The statement may be applicable to Saeed, endapo kweli atakua ameanza kupaparika... I like him as a solder, he is strong ila nina wasiwasi kwani kuanzia August nilianza kununua gazeti lake na kuishia kusoma titles na kulitupa kiti cha nyuma ya gari, something which was never there before, even my wife was shocked kwa jinsi nilivyoanza kufa ganzi kwa lile gazeti

My comment may not be 1005 valid to saeed, but its not bad to take it with a pinch of salt.... NA HIYO YA KUMJIBU SITTA NDIO KABISAAAA... ANAONEKANA KAMA HAKUA NA HABARI YOYOTE WIKI NZIMA, SO WHERE IS OUR GURU KWENYE FANI?

DO WE HVAE ANOTHER KATABARO IN THE MAKING?? MAANA NAONA WALIOPO KAMA WAMETNGENEZWA KWA BARAFU, JUA LIKIWAKA WANAYEYUKA
 
hivi aliyekwenda kumjuli khali kubenea baada ya kumwagiwa maji ya betri alikuwa JK au Richmonduli? kweli kuchumia tumbo kubaya sana.
 
Silinunui tena.

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu chungu. Mkataba walioingia na CDM kuikasfu Serikali umekwisha umekwisha sasa wamerudi kwenye reality. Hongera Mwanahalisi kwa kugundua kuwa mlikuwa hamuitendei haki serikali.
 
Ndugu yangu Mtazamo...

Wakati napost hiyo post sikuwahi kuhisi kama sitaeleweka... Mara nyingi ninapost povu huwa najua!!

To be honest, my post was generic... and more so to the journalists, na baadhi ya madeiwaka wa siasa wanaobadilika-badilika with very short memories

The statement may be applicable to Saeed, endapo kweli atakua ameanza kupaparika... I like him as a solder, he is strong ila nina wasiwasi kwani kuanzia August nilianza kununua gazeti lake na kuishia kusoma titles na kulitupa kiti cha nyuma ya gari, something which was never there before, even my wife was shocked kwa jinsi nilivyoanza kufa ganzi kwa lile gazeti

My comment may not be 1005 valid to saeed, but its not bad to take it with a pinch of salt.... NA HIYO YA KUMJIBU SITTA NDIO KABISAAAA... ANAONEKANA KAMA HAKUA NA HABARI YOYOTE WIKI NZIMA, SO WHERE IS OUR GURU KWENYE FANI?

DO WE HVAE ANOTHER KATABARO IN THE MAKING?? MAANA NAONA WALIOPO KAMA WAMETNGENEZWA KWA BARAFU, JUA LIKIWAKA WANAYEYUKA

Usemayo ndiyo ninayoyafanya mimi. Mimi I used to say kwamba natamani kila siku iwe jumatano kwa sababu ya Mwanahalisi. Lakini sasa hata wife naye kalishtukia gazeti hili na kwa hakika limepoteza mvuto kwa miezi kadhaa sasa.

Hili la kutumia karibu nusu ya gazeti kumjibu mzee Sitta nalo linaonyesha kukosekana kwa umakini ambako si kawaida ya gazeti hili na Kubenea mwenyewe. Inaonyesha kwamba ama hakuwa na stori ya kuuza kwa wiki nzima, au ameondoa stori muhimu ili amtandike Sitta na huu ni udhaifu wa kitaaluma ambao haukuwahi kuwa sifa ya Kubenea. Je ni kweli kwamba yawezekana makesi yanayomuandama na ambayo alifunguliwa na mafisadi (mfano ni kesi ya Sophia Simba) aliyemuomba msamaha ndo yamemfanya asalimi amri ili ahurumiwe? Amenisikitisha.
 
Silinunui tena.

Ng'wanangwa nini tena mbona unasusa? Kumbe ulikuwa unakula nguruwe ukidhani ni mbuzi pori sasa umeona kinywa ndio unajua kwamba alaah kumbe ni mwanaharamu!!! Endelea tu kununua hili ni gazeti ambalo huwa linaandika UKWELI MTUPU!
 
What happened, Umeishiwa hela ya kununulia MwanaHalisi? Tuweke wazi
 
Ndugu yangu Mtazamo...

Wakati napost hiyo post sikuwahi kuhisi kama sitaeleweka... Mara nyingi ninapost povu huwa najua!!

To be honest, my post was generic... and more so to the journalists, na baadhi ya madeiwaka wa siasa wanaobadilika-badilika with very short memories

The statement may be applicable to Saeed, endapo kweli atakua ameanza kupaparika... I like him as a solder, he is strong ila nina wasiwasi kwani kuanzia August nilianza kununua gazeti lake na kuishia kusoma titles na kulitupa kiti cha nyuma ya gari, something which was never there before, even my wife was shocked kwa jinsi nilivyoanza kufa ganzi kwa lile gazeti

My comment may not be 1005 valid to saeed, but its not bad to take it with a pinch of salt.... NA HIYO YA KUMJIBU SITTA NDIO KABISAAAA... ANAONEKANA KAMA HAKUA NA HABARI YOYOTE WIKI NZIMA, SO WHERE IS OUR GURU KWENYE FANI?

DO WE HVAE ANOTHER KATABARO IN THE MAKING?? MAANA NAONA WALIOPO KAMA WAMETNGENEZWA KWA BARAFU, JUA LIKIWAKA WANAYEYUKA

Mkuu MTM, I respect that input to the extreme
 
Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya singo nyingine ya Saed Kubenea na Mwanahalisi kuingia mtaani, kama kawaida singo hiyo itasheheni maneno ya kashfa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na familia yake. Wakati singo hiyo ikitoka, kwa maelekezo ya waajiri wake wapya aliopingana nao sana kabla ya kusalimu amri, inatarajiwa pia kwamba atakuwa anaendelea na majukumu yake mapya ya kumtakasa Edward Lowassa na wafuasi wake wa ufisadi.

Kwa hakika sasa hivi ile jumatano ambayo ilikuwa iisubiriwa na watanzania wengi kwa hamasa na kiu kubwa kulisubiri gazeti hilo sasa wamehamisha imani yao kwa Raia Mwema.

Karibu kwa mara nyingine bwana Kubenea, utakase unaowatumikia na 'kumuua' mkuu wa nchi na familia yake.

Inaonekana haujui propaganda. Mchezo anaoufanya Kubenea, ulifanywa na wanakijiji changu mwaka jana ktk kura za maoni za ccm. Walimsapoti na kumpigia kura mgombea mbovu na akashinda na ilipofikia wakati wa uchaguzi mkuu, wakampiga chali na mgombea wa cdm akapeta. Ktk ushindani fanya juu chini mpinzani wako asajili wachezaji wabovu ili umshinde kiulaini. Kama wanakijiji waliweza, nyinyi magreater thinkers mnashindwa kufikiri kwa muelekeo huo. Mpe sapoti mbovu amshnde mzuri, weka mzuri amushinde mbovu uliyemsapoti.
 
halina contents za kiuana mapinduzi. naona lilishatiwa mfukoni. sasa mimi sitaki kutiwa. silinunui tena. nitapata habar nazotaka JF.

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa..... unapenda mapinduzi?
 
Saed Kubenea wasikukatishe tamaa hawa. Go, go my brother your
are doing a fantastic job. Mwanahalisi still my best weakly news paper.

Magamba kama yanashindwa kulala usiku wa kuamukia Jumatano inaonesha
ni kwa kiasi gani kazi yako ya kuelimisha na kufichua maovu ilivyo nzuri.

Keep it up bro
 
Usemayo ndiyo ninayoyafanya mimi. Mimi I used to say kwamba natamani kila siku iwe jumatano kwa sababu ya Mwanahalisi. Lakini sasa hata wife naye kalishtukia gazeti hili na kwa hakika limepoteza mvuto kwa miezi kadhaa sasa.

Hili la kutumia karibu nusu ya gazeti kumjibu mzee Sitta nalo linaonyesha kukosekana kwa umakini ambako si kawaida ya gazeti hili na Kubenea mwenyewe. Inaonyesha kwamba ama hakuwa na stori ya kuuza kwa wiki nzima, au ameondoa stori muhimu ili amtandike Sitta na huu ni udhaifu wa kitaaluma ambao haukuwahi kuwa sifa ya Kubenea. Je ni kweli kwamba yawezekana makesi yanayomuandama na ambayo alifunguliwa na mafisadi (mfano ni kesi ya Sophia Simba) aliyemuomba msamaha ndo yamemfanya asalimi amri ili ahurumiwe? Amenisikitisha.

Hivi Kubenea ana taaluma ya uandishi wa habari? Hivi mnakumbuka Saed Kubenea alikuwa akiandikia gazeti la Rai miaka ya nyuma? Hivi mnakumbuka stori yake kuhusu Mzee Ngeze na Masilingi?
 
Saed Kubenea wasikukatishe tamaa hawa. Go, go my brother your
are doing a fantastic job. Mwanahalisi still my best weakly news paper.

Magamba kama yanashindwa kulala usiku wa kuamukia Jumatano inaonesha
ni kwa kiasi gani kazi yako ya kuelimisha na kufichua maovu ilivyo nzuri.

Keep it up bro

Mwanahalisi ni zaidi ya Kubenea, siwezi kosa nakala yake.
 
Mimi binafsi nimeshalipotezea, nimechoka na taarabu zake.
 
Back
Top Bottom