Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

Wadau naonekana ON&OFF duh hapa najipanga kwa ajili ya week nzima kwa mkoloni... Yaan achen udada kazi! Ninyi endeleen...

atug, DEMBA, Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
heaven usitukimbie... Demba tujitahid asitukimbie.. back to swali lako heaven mhh atleast mwaki
atug tutaonana j/nne kwenye show za ndani ya jumba coz kesho ni kama marudio ya show za weekend
 
Last edited by a moderator:
Niwashukuru woote for the company ktk kuangalia hizi show (tusker and ebss) u made ma day.
 
Poaa Demba,ngoja nitafute company kwingine. Alamsik pia
 
Poaa Demba,ngoja nitafute company kwingine. Alamsik pia
atug usiku mwema pia....kuona show kama hizi hlafu mnashea mawazo raha sana....

see you next timeeeeeee....bado tuko pamoja
 
Last edited by a moderator:
Heee... kumbe bado mpo! Haya mie nishamaliza kujiandaa, nalala now byeeeee wapendwa!!!!!
 
Lala salama charminglady... Heaven hilo jina la mwakijambile linaniacha hoi
 
Hisia kanirudishia hisia zangu za matumaini kwa wa tz...
 
Back
Top Bottom