Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Oct 20, 2013 #81 Heaven on earth said: DEMBA huyu mkaka wa wapiiiiiiii.... Click to expand... yupi huyo aliyezodolewa na jaji Ian?
Heaven on earth said: DEMBA huyu mkaka wa wapiiiiiiii.... Click to expand... yupi huyo aliyezodolewa na jaji Ian?
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #82 DEMBA said: yaah ni kweli analeta ushindani kwa kweli Click to expand... DEMBA jamani kuna wakaka wanaimba Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DEMBA said: yaah ni kweli analeta ushindani kwa kweli Click to expand... DEMBA jamani kuna wakaka wanaimba
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #83 DEMBA said: yupi huyo aliyezodolewa na jaji Ian? Click to expand... huyo huyo.......ila Kabutha ka kmtetea
DEMBA said: yupi huyo aliyezodolewa na jaji Ian? Click to expand... huyo huyo.......ila Kabutha ka kmtetea
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Oct 20, 2013 #84 Heaven on earth said: huyo huyo.......ila Kabutha ka kmtetea Click to expand... ni wa kenya yule
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #85 charminglady said: Dah.... Huyu anayeimba kavaa kofia na miwani nimemkubali!!! Click to expand... yeah kaimba vizuri saana
charminglady said: Dah.... Huyu anayeimba kavaa kofia na miwani nimemkubali!!! Click to expand... yeah kaimba vizuri saana
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Oct 20, 2013 #86 Heaven on earth said: DEMBA jamani kuna wakaka wanaimba Click to expand... jamani hata wa dada huyu fiona kajitahidi kwa kweli
Heaven on earth said: DEMBA jamani kuna wakaka wanaimba Click to expand... jamani hata wa dada huyu fiona kajitahidi kwa kweli
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Oct 20, 2013 #87 Fiona kaimba vizuri mnooooo..... Salute kwakeeew!!!!!!
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #88 DEMBA said: ni wa kenya yule Click to expand... ok......
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 Oct 20, 2013 #89 leo mr on test anarudi nyumbani
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Oct 20, 2013 #90 Heaven on earth said: ok...... Click to expand... halafu hapo ukumbini wanaonekana wamejaa wadada tu. kazi yao ni kushangalia wakaka tu.
Heaven on earth said: ok...... Click to expand... halafu hapo ukumbini wanaonekana wamejaa wadada tu. kazi yao ni kushangalia wakaka tu.
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Oct 20, 2013 #91 jameni tuache utani waganda wanaimba mweeh
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #92 DEMBA said: jamani hata wa dada huyu fiona kajitahidi kwa kweli Click to expand... Nimemuona tatizo sijawajua majina bado..na nchi wanazotoka
DEMBA said: jamani hata wa dada huyu fiona kajitahidi kwa kweli Click to expand... Nimemuona tatizo sijawajua majina bado..na nchi wanazotoka
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 Oct 20, 2013 #93 DEMBA said: jameni tuache utani waganda wanaimba mweeh Click to expand... manka hawa washomile hela ni ya kwao subiri sasa kuna dada mwingine mweusi tii kama mkaa na wale vijana wanaoimba wawili utashangaa mwenyewe
DEMBA said: jameni tuache utani waganda wanaimba mweeh Click to expand... manka hawa washomile hela ni ya kwao subiri sasa kuna dada mwingine mweusi tii kama mkaa na wale vijana wanaoimba wawili utashangaa mwenyewe
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 Oct 20, 2013 #94 Haya tumsubiri Hisia wa bongo sijui kama atatuondolea aibu
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #95 okaoni said: Haya tumsubiri Hisia wa bongo sijui kama atatuondolea aibu Click to expand... JF ilikata.....huyu dada mwenye purple nywele hapana
okaoni said: Haya tumsubiri Hisia wa bongo sijui kama atatuondolea aibu Click to expand... JF ilikata.....huyu dada mwenye purple nywele hapana
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #96 DEMBA said: halafu hapo ukumbini wanaonekana wamejaa wadada tu. kazi yao ni kushangalia wakaka tu. Click to expand... wdada utatuweza kwa mbwe,mwe...inakuwaje wle wanaimba wawili wawili..wale wakaka
DEMBA said: halafu hapo ukumbini wanaonekana wamejaa wadada tu. kazi yao ni kushangalia wakaka tu. Click to expand... wdada utatuweza kwa mbwe,mwe...inakuwaje wle wanaimba wawili wawili..wale wakaka
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Oct 20, 2013 #97 okaoni said: manka hawa washomile hela ni ya kwao subiri sasa kuna dada mwingine mweusi tii kama mkaa na wale vijana wanaoimba wawili utashangaa mwenyewe Click to expand... ndio huyo sitenda au?
okaoni said: manka hawa washomile hela ni ya kwao subiri sasa kuna dada mwingine mweusi tii kama mkaa na wale vijana wanaoimba wawili utashangaa mwenyewe Click to expand... ndio huyo sitenda au?
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 20, 2013 #98 okaoni said: Haya tumsubiri Hisia wa bongo sijui kama atatuondolea aibu Click to expand... Hisia bado hajaimba....huyu wa sasa wa wapi
okaoni said: Haya tumsubiri Hisia wa bongo sijui kama atatuondolea aibu Click to expand... Hisia bado hajaimba....huyu wa sasa wa wapi
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Oct 20, 2013 #99 Heaven on earth said: wdada utatuweza kwa mbwe,mwe...inakuwaje wle wanaimba wawili wawili..wale wakaka Click to expand... waliingia kama group. mwaka huu waliruhusu makundi
Heaven on earth said: wdada utatuweza kwa mbwe,mwe...inakuwaje wle wanaimba wawili wawili..wale wakaka Click to expand... waliingia kama group. mwaka huu waliruhusu makundi
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Oct 20, 2013 #100 DEMBA said: jameni tuache utani waganda wanaimba mweeh Click to expand... Hapana DEMBA.. Watoto wa Kagame ni noma! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DEMBA said: jameni tuache utani waganda wanaimba mweeh Click to expand... Hapana DEMBA.. Watoto wa Kagame ni noma!