Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
walokole ni wakiristo. Wanahaki ya kutoa propaganda kwa waislam.kwani itv nayo ni ya walokole?mnalalamikia itv je mbona hamsemi na atn ile ya walokole?, jamani kuweni na akili basi itv ni mali ya mtu binafsi, ata akiamua kujiweka yeye mwenyewe anaweza!. Kwa nini mnamtaka awasaidie!!!!!!
Kukosa akili na kuwa na akili ya jini na mashetani!
Kuna tabu sana,
bado kidogo mtataka na atn wawabebe!!!
kumbe zaidi. Tbc tunajua ya ccm + bakwata, jee itv jeee? Au ya chadema ?mkuu mpesapesa
bado nasisitiza kuwa iliyotajwa zaidi katika hicho kipindi ni tbc lakini wewe umepindisha na kusema itv ili wale ambao hawakusikiliza waamini hivyo. Mimi nimekisikiliza kipindi hicho mwanzo hadi mwisho. Wakati mwingine tuwe wakweli.
Hivi kwanini makafiri hawapendi kuitwa makafiri, ilhali matendo na mienendo yao ni ya kikafiri?
Mkuu sana Rejao hivi mafundisho ya namna ya kuishi Uislam bila kuita waumini wa dini nyingine majina ya kukashifu Kama kafir na bila kushambulia waumini wa dini nyingine hayawezekani katika Uislam? Kwa jinsi tulivyochanganyika kwamba baba Mkristo mama Muislam Shangazi Muhindu mafundisho ya namna hiyo yanakosa mvuto na kuwatia hasira baadhi ya waumini wa kiislam.Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina
Watoto wa mou naona mmechanganyikiwa, radio iman kweli elimu bila mipaka, hakuna kwaya. Ni elimu kusonga mbele.
Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina
kama kweli haya yanayosemwa na viongozi hawa wa dini ya kiislamu yana tija, mbona wanaoingia barabarani ni watoto wa maskini na wanaishia kupata kipigo wakati hao waliowachochea wamejifungia chumbani wakipata tende na urojo bila buguza????
The wise man is the one who knows his real enemy.
Ndugu zangu jipangeni upya mumtafute adui yenu, mnapoteza muda wenu kupambana na jambo ambalo si tatizo husika.
An empty head is devil's workshop.
namshukuru Mungu sikuzaliwa kwenye familia ya dini hii.! Maana maisha yangu yote ningekua nahisi kuonewa tu na kulalamika hata kwa mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wangu.!
Mkuu sana Rejao hivi mafundisho ya namna ya kuishi Uislam bila kuita waumini wa dini nyingine majina ya kukashifu Kama kafir na bila kushambulia waumini wa dini nyingine hayawezekani katika Uislam? Kwa jinsi tulivyochanganyika kwamba baba Mkristo mama Muislam Shangazi Muhindu mafundisho ya namna hiyo yanakosa mvuto na kuwatia hasira baadhi ya waumini wa kiislam.
ITV sikuzote huwa ni kuwadhalilisha waislam na uislam, mengi hutofanikiwa agenda yako dhidi ya uislam mwishowe m/mungu atakufisha dhalili hapa duniani.
Thank you Monkey face!
Hivi kuna tofauti yoyote kati ya Waislam wa Tanzania na ujinga?
nipe vigezo vya msingi vinavyomfanya mtu awe na sifa za kuitwa kafiri.
Usijihangaishe mkuu,dini ilishatekwa kitambo sana,ama kuna ambao wamefanikiwa ndani ya dini hiyo kuziteka fikra za wengi wao na hivyo basi wengi kuadapt terroristic ideas,kama vita dhidi ugaidi has to be won bila umwagaji damu kuendelea,basi ni waislam wenyewe wako responsible for that.Ukristo na usilam ushakuwa shida siku hizi,mmoja anaomwona mwingine nguruwe na mwingine anamwona mwenzake shetwain...Chuki mbaya sana hiiMkuu sana Rejao hivi mafundisho ya namna ya kuishi Uislam bila kuita waumini wa dini nyingine majina ya kukashifu Kama kafir na bila kushambulia waumini wa dini nyingine hayawezekani katika Uislam? Kwa jinsi tulivyochanganyika kwamba baba Mkristo mama Muislam Shangazi Muhindu mafundisho ya namna hiyo yanakosa mvuto na kuwatia hasira baadhi ya waumini wa kiislam.