Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Mnaangaika na hawa wanywa kahawa,wacheza bao,waoaji wa wanawake wengi,wanawaza kula karanga ili wafanye mapenzi usiku mana wanawaza kufanya mapenzi tu simply because hawana kazi ya kufanya,shule walikimbia,kazi mnayo hawa ni vileza.
 
Nashukuru kwa kuwa mimi niko mkoa wa mbali sisikilizi redio za kifisadi kama hizo.
 
Mi mkristo kwa sana,Huyo anayesema anachukia uislam na waislam anavuta bangi,wa2 kama hawa wanatakiwa kuondolewa dunian
 
Mie nnachowashauri waislamu wenzangu ni kuwa tujitahidi sana kusoma...

Kwa taarifa yako waislamu wengi sana kwa sasa wanaiga buku na wako waislamu kibao ambao ni wasomi.

Sasa kama lengo lako ni kuendeleza propaganda kuwa waislamu hawajasoma nakuomba ubadilike kabisa..
 
Awe muislamu, mkristu, mpagani... Lengo la uhuru siyo kuleta udini. Wapuuzi wachache ndo wanadhani dini hii ni bora kuliko ile katika ustawi wa taifa na hawaoni haya kuyasema hadharani. Nawasihi wana JF na wale wote wenye mapenzi mema na nchi yetu kuwapuuza mara moja. Udini/Ukabila haikuwa ajenda ya waliotutangulia. Nashauri.
 
To be honest, wako waislam ambao ni safi sana,lkn pia wako wachache ambao wameamua kutumiwa vibaya na wana siasa.Angalizo langu ni kwamba hii nchi siyo ya udini kama ilivyo Nigeria.Now Muslims tell me are u taking advantage of your president being a Muslim as well?
 
Mimi ni Muisalmu.
Kwa mtu yoyote anazyetaka kuujua Uislam na anafahamu kingereza na aangalie Peace TV na atakutana na Dr.Nakir.
Kuna masuala mbalimbali yanayojadiliwa kwa kina na kitaalamu zaidi.
Wahadhiri wa Kiislamu wasaidie kueleza vipi Mtume Muhamad (Amani na salama iwe juu zake) aliishi na watu wasiokuwa waislamu.
 
Najisikia kuanza KUUCHUKIA utaifa wangu kwavile nahisi hakuna cha kujivunia! Hili li nchi limejaa wanafiki, ambao barabarani wanaonekana ni wamoja kumbe ni laana tupu! Naanza kulichukia hili li nchi kwavile linaibua mijitu yenye udini kila uchao!! Si rahisi kutokea vita vya kikabila kwenye hili li nchi; lakini sooner or later yale yanayotokea kwenye li nchi lingine bovu la kiafrika (nigeria) na kwenye hili li nchi yatatokea!!! Sio siri, Miislamu ni midini na mikristo ni midini. Hata hivyo, nimegundua kitu kimoja. Miislamu inayoendekeza udini ni ile ile ambayo haijakamata sawa sawa elimu dunia, wakati mikristo inayoendekeza sana udini ni ile ile ambayo imepata elimu dunia ya kutosha!
 

Ushenzi gani?
 
Kidogo naanaza kuona mantiki ya kupotosha historia ya uhuru. Make kama uhuru manake uhuru wa diini ni hatari
 
Hakuna ujuha uliopitiliza kama uvivu wa kuusaka ukweli. Ujuha kama huo hujikoleza kwa wanaoamini bila kudadisi kila wakisomacho ama waambiwacho. Kwa watu kama hao kuwa na fikra huru zinazotokana na utafiti na tathmini binafsi hakupewi nafasi na hivyo kubaki mtumwa wa mawazo na utashi wa wengine. Kilichokuwa kinajadiliwa katika mdahalo huo si kigeni kwa watanzania wengi wanaotaka kufahamu ukweli halisi kuhusu historia ya harakati za ukombozi wa nchi yetu, badala ya kupumbazwa na ghilba za watawala wetu wanaojiita wazalendo zaidi waliotunga historia isiyo na mashiko. Kwa bahati mbaya ukweli una tabia ya kujidhihiri hata kama utafunikwa kwa muda mrefu. Hivi inaingiaje akilini kudhani kuwa ukombozi wa Tanganyika unaanzia na kuishia kwa harakati za TANU..Vipi kuhusu machifu km akina mkwawa, mirambo, songea nafasi zao katika historia ya ukombozi kweli inathaminiwa au inaaminishwa kuwa ni sehemu muhimu zaidi katika historia. Tusome tafiti mbalimbali...na kama una fursa soma kitabu kiitwacho Kwaheri ukoloni kwaheri Uhuru upate angalau fikra mbadala ya kukupa changamoto zaidi ya kukupa uwezo wa kuwa na maamuzi huru.
 

Wako kwenye ibaada! Maana malalamiko ni sunna. Kama zama hizo muamad alivyo walalamikia Wakristo. dah!
 
Hii radio lazima inafadhiliwa na ****** mwenyewe....
 
Malalamiko yamebadilisha kitu gani mpaka sasa????? Sametimes tunaweza complain kitu iwapo tuna plan be ya solution..Nyerere will be there and nothing will change on how he appeared on our mind. Kitu imani kama kikiingizwa kwenye mistari ya kisiasa na kuwekewa njia nyingine basi msingi wake ni mapanga tuu yataendeleza...
 

Watu kama hawa ukiwasikiliza sana unaweza ukajikuta na wewe una roho mbaya kama wenyewe!
Hicho kitu hapo juu ndicho anachowafundisha Mohamedi?...huyo mohamedi atakuwa wa magumashi!
 
Hawa radio imani ni wa chochezi sana.radio hii isipofungwa au kupewa onyo kali itavuruga nchi hii.
Kwanza inasikika sehemu ndogo tu ya nchi, pili wasikilizaji wake ni walewale wenye upeo.......,tatu watanzania wengi hatuamini udini wao zaidi ya CCM wanataka kuungwa mkono na watu wasiofikiri. Kwahiyo huna haja ya kuihofia radio uchwara hiyo.
 
Waache Redio Imani watohoe, waaache wamtukane Nyerere, wakimaliza watamtukana Kikwete na ole wake serikali iwatishe au iifunge radio hiyo.

Waache watende yote hayo, kwa sababu walitumika Igunga kumtetea DC mkiristo Fatuma Kimario.
 
Ka radio iman kanawachachafya makatonta, sisi Wabagani mbona uwa akatusemi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…