Kuna mdaharo unaendelea kwenye hii radio wao wanasema uhuru wa tz uliletwa na waislamu na si nyerere
Kuna mdaharo unaendelea kwenye hii radio wao wanasema uhuru wa tz uliletwa na waislamu na si nyerere, wanadai haina maana ya kumbuka mwalimu wakati historia imepotoshwa, wanasema nyerere alijikita ktk kujenga makanisa na sio misikiti, wanauliza kwa ni kuna baba wa taifa hakuna mama wa taifa? Wanasema labda kwa vile ni mwislamu bibi titi mohamed. Mimi hii radio siielewi hembu wadau leteni maoni yenu hapa, kama una redio wasikilize mada inaendelea.