Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Zomba hii thread hajaiona? au nayeye Radio kasikiliza hivyo kaona aibu!!!
 
Sio swala la kupuuzia! Hakuna mtu hatari kama mjinga anayehisi kuonewa, na tena uweze kumshawishi ki imani ambayo imani haihitaji hata chembe ya logic. Tuweni makini sana jamani!An act of a single fanatical idiot can be of great damage. Walahi naapa serikali ikiacha hii cancer ya udini ienee ntahakikisha hata vizazi vya hao vigogo visiishi kwa amani! Miswahili bana!!Waislam wa uswahilini tutashikeje nyadhifa nyingi serikalini wakati madrasa zenu zinaponda elimu Dunia! The problem is you cant reason with these ******!
 
Haina maana kwenda polisi wakati tuna vyombo vinavyotakiwa kufuatilia swala hili, hawa watu wanahatarisha usalama wa taifa, je hao watu wa kijitonyama a.k.a USALAMA WA TAIFA wanafanya nini? au kazi yao ni kuchakachua tu?
Ni wajibu wako kama raiya mwema kuvijulisha vyombo vya usalama pale linapotokea tatizo kama ilo. Je ulitoa taarifa polisi?
 
Usipotoshe ukweli kwa dai lako la uongo kuwa Uislamu ulienezwa kwa upanga! haya nakuuliza, Uislamu ulipoingia huku kwetu miaka 1000 kabla ya ukristo kuja ni upanga gani huo uliotumika mpaka babu zetu wakasilimu?
Maeneo ya Machame, Usangi, Ugweno, Moshi mjini, Bukoba, Musoma nk, kuna Waislamu pia sasa upanga uliotumika kuwasilimisha umeuhifadhi ktk MUSEUM yako?
2) Indonesia ni nchi yenye idadi kubwa sana ya Waislamu duniani kote, sasa uislamu ulipoingia huko ni upanga upi huo uliotumika?
India, Pakistani, Afganistani, Kosovo, Bosnia, mackedonia, Uzbekistan, Urusi, Chechenia, USA na nchi nyingi duniani wanakoishi waislamu ni upanga gani huo uliotumika?

Labda Ukristo ndio ulioenezwa kwa mtutu wa bunduki ndio maana Wazee wetu akina KINJEKITILE walikataa kudanganywa na Wazungu waliokuja kama Wamisionari kumbe lengo lau ni kuwabatiza na kuwatala!

Usituletee propaganda chafu zilizopitwa na wakati tafuta lingine la kuongea lakini sio upupu!

Mkuu naona ukweli umekuuma. Ebu niambie jihad maana yake ni nini?? By the way, una taarifa kwamba Ijumaa ijayo kuna mfadhili mmoja kutoka Afghanistan atagawa misaada mbalimbali maeneo ya mtoni kwa aziz alli?? Nasikia hata pilau itakuwepo.
 
Wala usihangaike na madebe tuu hayo mkuu hawana maana na ni kwasababu ya kukosa kazi ndo maana wanaleta stori za kwenye vijiwe vya kahawa redioni!
 
Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.
astakhafirurah!

weye ntu usitaje kwetu tandika, sio wote twasikiliza hiyo readio ati! napenda nikujuze yakhe! wote wasikiliza hiyo radio hawana kazi nyingine za kufanya, siye twakuwa busy kusoma elimu dunia! sie huku twatambua kuwa madrasa ile , kile chuo cha palekwa bakari chapoteza muda wetu yahke, siye tumejua kuwa elimu dunia itatukomboa, wanangu wote wako uganda yakhe, Aisha nimempeleka Kenya.

WAACHENI WAISLAMU WASEME NA KUFABYA WATAKALO, WANALIPALILIA KABURI LAO NA VIZAZI VIJAVYO, WATOTO WAO WATAKUWA WATUMWA WA WAKRISTO SIKU ZOTE ZA MAISHA YAO
 
Mnajuwa Mkristo wa kwanza kutia nanga pwani ya Kilwa (yeye mwenyewe hajashuka melini), ni Vasco Da Gama, baad ya kushusha wasaidizi wake na kupewa mabaharia wa kuwaendeleza safari yao na waliporudi kwa mara ya pili Kilwa kitu cha kwanza ilikuwa ni kuwapiga wenyeji kwa mizinga kutoka kwenye merikebu zao bila ya huruma! Kisa? CRUSADE!

Na hiyo kurusedi bado inaendelea haijasitishwa. Na sasa ndio inaongeza kasi, kwa sababu tu uIslaam unakuwa kwa haraka kuliko dini yoyote duniani.

Hapa kwetu kinawashngaza nini kuwa tumetawaliwa na mfumo kiristo uliosimikwa na Nyerere? Kama si kweli, kwa lipi zaidi ambalo linamfanya Nyerere awe kwenye safu ya kupewa utakatifu? Utakatifu upi alioufanyia nchi hii? Zaidi ya kuleta mfumo kiristo?
 
na kawawa alikuwa mkristo?
 
Mkuu naona ukweli umekuuma. Ebu niambie jihad maana yake ni nini?? By the way, una taarifa kwamba Ijumaa ijayo kuna mfadhili mmoja kutoka Afghanistan atagawa misaada mbalimbali maeneo ya mtoni kwa aziz alli?? Nasikia hata pilau itakuwepo.
Kwa hiyo Uislam ulivyoingia Tanganyika na Zanzibar, kama sio East Africa uliingia kwa Upanga, kama unavyofikiria... Hivi unaijuwa historia ya nchi yako kweli.

Hivi Jihadi maana yake nini?
 
haina maana kwenda polisi wakati tuna vyombo vinavyotakiwa kufuatilia swala hili, hawa watu wanahatarisha usalama wa taifa, je hao watu wa kijitonyama a.k.a usalama wa taifa wanafanya nini? Au kazi yao ni kuchakachua tu?
viongozi wa nchi hii wanachochea udini..hawalioni hilo, watajidai hawaoni.siku ocampo akija watakuwa wa kwanza kushtakiwa
 
mnh...................kuna watu wametumwa kuchochea udini yule ambae kila hotuba anayotoa ni udini tu (mkwere) ili ionekane kuna udini
 
Guys!

Kuna shule na hospitals nyingi na nzuri zinazoendeshwa na madhehebu ya Kiislamu humu Tanzania. Au Ismailia si waislamu sababu wengi wao ni asili ya Kihindi?
Shule na hospitals za Aga Khan ni za Ismailia.

This oppression nonsense has got to stop!
 
mnh...................kuna watu wametumwa kuchochea udini yule ambae kila hotuba anayotoa ni udini tu (mkwere) ili ionekane kuna udini

Wanaochochea udini huwaoni au unajidai tu kuwa huwaoni? Nani aliyeifananisha CCM na Taliban? Nani aliyewafukuza wana CCM kanisani, Sumbawanga.

Au ni mwepesi wa kusahau?
 
yaani mimi nikitaka kuongeza kisukari uwa nasikiliza hiyo redio na nyingine iliyoko dar!full upuuzi,mashekhe wawe na degree kama mapadre labda IQ YAO ITAONGEZEKA!MTU UTAFELISHAJE WAKATI MITIHANI INAFANYA KWA NO?

mi nadhani hawa waislam wapo sawa na wanasema ukweli kwani ni wazi kabisa mpango mzima wa kanisa katoloki kutaka kumfanya mtakatifu wakati alikuwa mwanasiasa na sio mtumishi wa kanisa ni dalili tosha kwamba katika utawala wake alikuwa akiongoza kwa mfumo kristo na sasa kwa kuwa nchi inaongozwa na mwislam imekuwa kero kwa maaskofu wameamua sasa kumpiga vita ya wazi huku wakiwatumia wafuasi wao ambao hawana uwezo wa kufikiri juu ya kuacha ukafiri wao pamoja na chama chao cha chadema

kwa taarifa yako radio iimani mpaka ifike mwishoni mwa mwezi wa 6 itakuwa imeenea tz nzima na itakuwa ndio redio itakosikilizwa katika majumba ya waislam.
 
waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome,

mh!!!hii redio uchwala sana ndo mambo ya kuongea hayo mbona waislamu wengi wamesoma yaani mnapenda unafuu sana ndio maana mnapewa PhD za zawadi wakati wenzenu wanazihangaikia
 
Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.

Na hao mafisadi wenu wanaoishi Msasani, Masaki, Mikocheni, Mbezi, huwa wanasikiza Radio Tumaini sio?
 
nyie wakristo namuomba Mwenyeezimungu aangamize mipango yenu ya kuupiga vita uislam na akufungueni macho mjuwe kwamba uislam ndio dini ya haki na ndio dini ya amani.

Maaskofu wamekuwa ndio chanzo cha machafuko katika nchi nyingi za africa mfano burundi na sasa wanataka kuleta fitna hio hapa tanzania, sisi tunawaambia hivi sisi waislam kufa wakati tunaitetea dini yetu ni bora zaidi kuliko kuishi katika dunia hii.

Hivyo basi tunawaonya nyie maaskofu wachungaji na wafuasi wao msifikiri vita mnaoyotaka kuinzisha sisi hatuifahamu, tutawapiga kwa uwezo wa ALLAH na mtaangamia
 
Mkuu naona ukweli umekuuma. Ebu niambie jihad maana yake ni nini?? By the way, una taarifa kwamba Ijumaa ijayo kuna mfadhili mmoja kutoka Afghanistan atagawa misaada mbalimbali maeneo ya mtoni kwa aziz alli?? Nasikia hata pilau itakuwepo.

Jihadi maana yake ni HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom