Kama wewe ni Muislamu basi ni Muislamu jina tu! jenga subira na kuwa na moyo wa kuvumiliana..sikiliza na kama huafikiani nao kaa kimya! ama toa fikra mbadala!Hao ni masheikh uchwara wackupe taabu,cc waislaum tulioelimika hatuwezi kudanganywa na hao wapuuzi
Tatizo la kupelekwa sunday school . Kila kitu kulalama tu. jamani lazima mjifunze kuvumiliana na mjue kutesa kwa Zamu
acheni kulialia na vyombo vya habari vya kiislam kama vinawakera msisome wala kusikiliza, mbona mnastation za na magazeti tele na kuna habari za kila aina, hata sie tukifungua husikia kama ulivyojisikia ww, cha kushangaza redio zenyewe hata nusu ya za kwenu hazifiki, na huku mnaziiita kuwa zina coverage ndogo, waandishi na watangazaji wasio na elimu kinacho waumiza kichwa mkaanza kujadili ni kipi haswa, nashangaa ya mjinga nayo yanajadiliwa, ama kweli zinawapelekesha! poleni ila tu ushauri wa bure kama inakukera achana nayo... tanzania ina uhuru wa kuongea na kuandika kwa mtizamo wa fikra za mtu....
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.
Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.
Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.
Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!
Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.
Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa intelijensia ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani
Wana JF naomba kuwakilisha
hivi ushawai kusikia nchi yoyote duniani ikifanya jambo,au kuonea huruma watu flani ili walete uwiano sawa baina ya jamii husika-Hivi kwenye familia yenu wote mpo sawa kiuchumi,elimu n.k?na kama hampo sawa wazazi/wanajamii wako wamechukua hatua gani kuweka uwiano sawa baina ya nyie wanandugu?KWA MIMI NINACHOFAHAMU,JAMII KAMWE HAIWEZI KUWA NA UWIANO SAWA-NDIO MAANA SOCIALISM IMESHINDWA NA KUJIKUTA IMEANGUKA-KAMWE JAMII YOYOTE ILE HAIWEZI KUWA SAWA-HATA USAIDIE KUBALANCE-SISHA VIPI-AT THE END-UPANDE MMOJA LAZIMA UTAKUWA UMEMZID MWENZAKE-CHA KUFANYA NI KILA MTU KUPIGANIA MAISHA YAKE KWA NAFASI ALIYONAYO ILI AREKEBISHE MAMBO YAKE MWENYEWE-KULIKO KUACHA KUFANYA KAZI NA KULALAMIKASi aghalabu mie kuingilia mambo ya imani. Ila najua katika jamii ya kidemokrasia mtu yeyote ana hiari ya kuchagua na kujadili yanayomkera. Kinachonishangaza wengi hapa hawajadili issue, bali wanajitumbukiza kubeua na kukashifu tu. Nadhani tayari kuna makundi mawili hapa.
Swali langu ni hivi:
Jee Waislamu Tanzania wako nyuma kwa elimu, maendeleo nk kuliko Wakristo?
Hivi ndivyo ilivyokuwa tangu kabla ya uhuru (historical context) ? Kama haikuwa hivyo, ni sababu gani zilizopelekea kwenye hali hiyo?
Kipi kifanywe ili kuleta uwiano, au hili pia haliwezekani na kwa nini?
Nadhani hayo ndiyo maswali ya msingi.
Unaongea kwa niaba ya chama gani mzee?
kama ni cdm kwa gia yenu ya udini kampeni makanisani na kwenye vigango basi subirini hiyo 2015
unafikiri mjadala inabidi ukaliwe na waislam peke yao?? Je kushambulia wakristo kuwa ni wezi ni sawa.......?? mimi nimesoma shule iliyokuwa ya wakristo, ikataifishwa na sasa ni ya serikali..........mbona cjawah kushuhudia waislam wakifelishwa kwa makusudi???Si aghalabu mie kuingilia mambo ya imani. Ila najua katika jamii ya kidemokrasia mtu yeyote ana hiari ya kuchagua na kujadili yanayomkera. Kinachonishangaza wengi hapa hawajadili issue, bali wanajitumbukiza kubeua na kukashifu tu. Nadhani tayari kuna makundi mawili hapa.
Swali langu ni hivi:
Jee Waislamu Tanzania wako nyuma kwa elimu, maendeleo nk kuliko Wakristo?
Hivi ndivyo ilivyokuwa tangu kabla ya uhuru (historical context) ? Kama haikuwa hivyo, ni sababu gani zilizopelekea kwenye hali hiyo?
Kipi kifanywe ili kuleta uwiano, au hili pia haliwezekani na kwa nini?
Nadhani hayo ndiyo maswali ya msingi.
<br />Nimekupata mkuu!!!!!!!!!!. Mijadala of such type ipo had huku mtaan, m n muumin wa kiislam, nagombana nao wanaposema tunatengwa, tunaonewa, HOW??????.Napenda kuwaambia kuwa kama tunabaguliwa na tumeshajua hakuna haja ya kulalamika, swala ni ku work on it. Tusome kwa bidii, sipend kuiaminisha jamii kuwa muslim tunabaguliwa b'se sijawahi ku experience kitu kama hicho. Kama yupo mtu ambaye ashawahi kukutwa na mkasa wa kukosa nafasi yeyote kisa muslimu anijuze, namaanisha kuanzia 2000 had tjis year. Kama lilikuwepo nadhan kwa sasa limeisha!!!!!!!!!. Mbona shule za kiislamu znaongoza kufelisha??????. Hapana kulialia sio suluhisho. SISI NI KITU KIMOJA, HAKUNA DINI BILA SISI,