Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
huyu mhadhiri siku zote thread zake haziwi na kichwa wala miguu,amebase sana kwenye udini. mods kwa nini msiwe mnaacha kuzitoa threads zake? hazina tija. maana mambo anayoongelea mitaani humu katika maisha ya kawaida hayako kabisa. watu wote Christians and Muslims tunaishi na kushirikiana vzuri. namshangaa sana huyu mtu
 

Pumba hiyo. Unatuuliza kama ni haki umesahau walivyoambiwa CDM waende mahakamani kudai haki? Nenda mahakamani kamshitaki waziri wa CCM.
 
Kaka Mudhihir andama kwenda ofisi za CCM ndipo alipoteuliwa Nchimbi na si Chadema..
 


Achana naye muhadhiri Elimu INAWEZA KUWA TATIZO PIA.....
 
muhadhiri tatizo lake msomi pia mdini. hapa ndipo mnapokwama.

wewe na yeye ni wale wale wajinga labda kama hiyo degree ni ile ya bure pale MuM [morogoro]..tena ya propagation...

na kama kupindua mngepndua zanzibar ambako mko wengi....lakini mmehongwa umakamu wa rais usiokuwa na deal wa kukamata wanawake waliovaa vimini na kutunza mateja...makamu wa rais zanzibar hana jukumu lingine...hata hana uwezo wa kukaimu rais akiondoka zaidi anakaimu makamu wa pili....na wamewaulia CUF huku bara...kwawapindueni kwanza hao ndio mfikirie huku iwe ccm au chadema ..fools.
 
anzisheni redio na vijarida wakati wenzenu wanafungua na kuanzisha vituo vya afya, hospitali za rufaa, shule za sekondari na vyuo vikuu .....
Hivyo unavyovitaja vina umuhimu wake na vijarida na redio vina umuhimu wake. Kwa sasa tunaongelea hoja ya uhuru wa habari hivyo yaliyobora kwako una haki ya kuyaongelea na ya wenzio yatakupatisha tabu kwani maadam wameamuwa kuzungumzia posti yako haitowafanya waache.
 

Hai wise man!! Naona unavyozungumza kama unafanana na hao uliowataja mwisho wa post yako?
 


nyie dawa yenu ni tanzania kupata rais mwenye sura uso-wa-mbuzi kama BWM
 


Ndugu yangu ukizungumza ya mitaani na hali halisi humu ni sawa na ardhi na mbigu. Angalau wananchi walio wengi hawaoni hali halisi humu wangechukua hatuwa zamani!
 
kijana mbona hujaeleweka hapa? kichwa cha habari umemtaja nchimbi then ndani ya habari unawataja marais, wataje mawaziri kama unawakumbuka nikuone mjanja , so hapa lawama mpeni jakaya mrisho na wala sio nchimbi, tumeelewana?
 
maneno mazito haya
 
Nido maana hata nikiambiwa JF inafungwa sishituki, sio kama ilivyokua zamani kwa sababu watu humu ndani utafikiri wote wametoka sijui wapi. Kwa nin mnamtahadharisha Nchimbi kwa kufanyakazi yake, huyu ni kidume wote tunaona kwamba hivyo vijarida na magazeti chini ya ufadhili wa Iddi Simba na Sykes vinachochea vita tunakaa kimya. Emmanue Nchimbi ninayemua mimi ni mpiganaji na ana uchungu wa kweli na nchi hii, fanya baba tena wasiposikia wafungie, ukitoka huko hami kwenye vyombo vya Rostam, haiwezekeni kina balile waruhusiwa kunya wanavyotaka wakati serikali ikiwaangalia, wao wameandika kwamba Mwanahalisi na mengi wanataka kuipindua nchi, gazeti lingine limenukuu manano hayo naho kwa kila neno walivyoandika habari kwamba wahindi fulani wanataka kupindiu nchi kwa stail ya ki RAI eti wakaitwa na kuhojiwa stupid, dawa yao ni yale yaliyofanya juzi pale tegeta, halafu eti polisi wanaotakiwa kushitakiwa kwa ushenzi maana ule sio uzembe, ndio wanakamata watu na kuwafungulia kesi, CCM na serikali yake imeamu kwamba kuliko watoke madarakani bora waanzishe vita
 
Dini tuweke pembeni tuzungumze hoja na nguvu ya hoja. Ukweli ni kwamba redio na gazeti tajwa hawatutendei haki watz kwa kuelemea upande mmoja katika habari zao. Ni lazima wajue wafanyacho ni kibaya kwa usalama wa nchi kwa kuwa watasababisha genocide tz kama ile ya rwanda. Yakitokea hayo kwa sababu hiyo lazima tutawaundia mahakama yenu ya genocide kama ya ICTR arusha kwa ajili ya genocide ya rwanda.Hivyo kama waziri muhusika kaliona hili na kawaonya ni vizuri maana waseahili husema usipoziba ufa utajenga ukuta, na kama tabia hiyo ikiendelea hana budi kuvifunga kabisa visiwepo ktk orodha.
 
Hongera Nchimbi kwa ujasiri huo. Ebu tufutie viredio na vigazeti vinavyotangaza malalamiko tu na kuchochea uhasama usio na mbele wala nyuma. Hivi wazee wa ubwabwa wataacha lini upuuzi huo???
 
Hakika hawa ndg zangu waislam wana shida sana, hilo tunalifahamu, siku zote utasikia, Makafiri, ...., sijui ni kwa nini hawatupendi!
 
ushauri wa bure!mfungue radio nyingine ambayo itafanya mambo ya siasa na nyingine iendelee kutufundisha dini!too much politics na dini ndan ya siasa na siasa ndani ya dini!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…