Tusipende kupiga watoto wetu

Tusipende kupiga watoto wetu

Ila unaweza kupingana navyo kufanya mapenzi kabla ya kufunga ndoa.
Mimi nachapa, tena vizuri tu na siwezi kupingana na vitabu vitakatifu kuhusu kutumia fimbo kwa wanangu.
 
Mtoto ni zawadi.Ndiyo alama yako utakayoacha hapa duniani. Hizo mali utakazoacha zitagombaniwa zitaisha.Ila jina lako atabaki nalo wewe na atalitumia kwa mjukuu wako kama jina lake la tatu. Tusitelekeze wala kuwapiga piga watoto.

Huwa najisikia vibaya pale mzazi au yoyote yule anamposhushia kipigo mtoto tena kilichozidi umri wake.Huku kitaa kuna mama huwa anampiga sana mwanae.Mwanae yupo la pili ni wa kike.Yule mtoto anafanya kazi nyingi jamani.Siku dogo alichelewa kurudi akarudi saa 9 badala ya saa 7 basi kaingia ndani tu hivi ndani kamsalimia mama kakutana na kipigo.Hapo hata hajauliza shida nn ya kuchelewa.

Kumbe dogo alikutana na wahuni wa shule huko yale madarasa ya juu wakampora baadhi ya vitu basi dogo akaenda kushitaki kwa ticha sasa hiyo process hadi ya kupata vitu vyake ndo muda ukapotea hapo.Sisi tumetulia hatuna habari tukashtushwa na kelele hiyo nyumba.Kelele yenyewe si ya kawaida! Ikabidi twende yawezekana shida ni kubwa.

Kumbe bhana sijui alikosa cha kumpigia humo ndani basi akatumia mwamvuli ile ncha iliyochongoka! Kampiga usoni! Mungu mkubwa alimiss jicho! La sivyo alikuwa analiondoa! Ilo usoni alimpompiga palianza kubreed! Sasa mtu wa hivi usipomuita mzazi ukamuita shetani utakuwa na kosa?

Jioni mzee wa nyumba aliporudi ikabidi amuulize kulikoni mwanae! Mtoto akajieleza vizuri huku baba anasikiliza kwa makini! Kilichofuata yule mama alitwangwa,alipigwa,alinyooshwa sana.Mimi huwa sipendi kuona au kusikia mwanamke anapigwa na mwanaume ila hiyo siku nilifurahi sana! Alipata dawa yake.Mtoto kama vile sio wake wa kuzaa.

Wengine hadi vitoto vidogo wakiwa wanaviogesha basi wanavichapa humo humo kwenye beseni.Vinalia hadi vinahuzunisha.Sio vizuri hivyo.
Wakati wa kutaka mwanao akuelewe kwa vipigo ushaisha huko! Mengine tuwaachie mababu zetu waliopenda waogopeke ili wakiingia nyumbani kutoka shamba basi watoto wajifiche.Huu muda ni wa kutengeneza urafiki na watoto wetu ili wawe huru kueleza changamoto zao kisha tuzitatue.

Watoto wa zamani waliwapenda bibi na babu zao sababu waliwasikiliza tofauti na wazazi waliopenda kutumia silaha ya mkono.
Mimi sitapiga mwanangu yoyote kabisakabisa.
Hayo sio mapigo, huo ni ukatiri na nyinyi kama jamii ilitakiwa kuuripoti police ama sehem husika ili hatua za kisheria zaid zichukuliwe juu yake.

Lakin mtoto lazima apewe mapigo inapo stahili ili kumsaidia kutambua madhambi aliyo yafanya,. Na mapigo yenyewe ni fimbo (bakora) na unapo mchapa zingatia umri na afya yake. Toa mapigo kwaajiri ya kumfunza sio kwaajir ya kulipiza kisasi cha hasira yako

Muhimu: wazazi na walezi tutoe hadhabu mda ambao hatuna asira, usi muadhibu mtoto ukiwa bado na asira
 
Mtoto ni zawadi.Ndiyo alama yako utakayoacha hapa duniani. Hizo mali utakazoacha zitagombaniwa zitaisha.Ila jina lako atabaki nalo wewe na atalitumia kwa mjukuu wako kama jina lake la tatu. Tusitelekeze wala kuwapiga piga watoto.

Huwa najisikia vibaya pale mzazi au yoyote yule anamposhushia kipigo mtoto tena kilichozidi umri wake.Huku kitaa kuna mama huwa anampiga sana mwanae.Mwanae yupo la pili ni wa kike.Yule mtoto anafanya kazi nyingi jamani.Siku dogo alichelewa kurudi akarudi saa 9 badala ya saa 7 basi kaingia ndani tu hivi ndani kamsalimia mama kakutana na kipigo.Hapo hata hajauliza shida nn ya kuchelewa.

Kumbe dogo alikutana na wahuni wa shule huko yale madarasa ya juu wakampora baadhi ya vitu basi dogo akaenda kushitaki kwa ticha sasa hiyo process hadi ya kupata vitu vyake ndo muda ukapotea hapo.Sisi tumetulia hatuna habari tukashtushwa na kelele hiyo nyumba.Kelele yenyewe si ya kawaida! Ikabidi twende yawezekana shida ni kubwa.

Kumbe bhana sijui alikosa cha kumpigia humo ndani basi akatumia mwamvuli ile ncha iliyochongoka! Kampiga usoni! Mungu mkubwa alimiss jicho! La sivyo alikuwa analiondoa! Ilo usoni alimpompiga palianza kubreed! Sasa mtu wa hivi usipomuita mzazi ukamuita shetani utakuwa na kosa?

Jioni mzee wa nyumba aliporudi ikabidi amuulize kulikoni mwanae! Mtoto akajieleza vizuri huku baba anasikiliza kwa makini! Kilichofuata yule mama alitwangwa,alipigwa,alinyooshwa sana.Mimi huwa sipendi kuona au kusikia mwanamke anapigwa na mwanaume ila hiyo siku nilifurahi sana! Alipata dawa yake.Mtoto kama vile sio wake wa kuzaa.

Wengine hadi vitoto vidogo wakiwa wanaviogesha basi wanavichapa humo humo kwenye beseni.Vinalia hadi vinahuzunisha.Sio vizuri hivyo.
Wakati wa kutaka mwanao akuelewe kwa vipigo ushaisha huko! Mengine tuwaachie mababu zetu waliopenda waogopeke ili wakiingia nyumbani kutoka shamba basi watoto wajifiche.Huu muda ni wa kutengeneza urafiki na watoto wetu ili wawe huru kueleza changamoto zao kisha tuzitatue.

Watoto wa zamani waliwapenda bibi na babu zao sababu waliwasikiliza tofauti na wazazi waliopenda kutumia silaha ya mkono.
Mimi sitapiga mwanangu yoyote kabisakabisa.
Kama unafikiri kumpenda mtoto ni kutompiga, sawa. Wa kwako usipige, mimi wa kwangu nampiga kwa kiasi. Alafu tukishakufa watakutana kwenye maisha ndo utakapojua aliyekuwa anampenda mwanae kati yangu na wewe ni nani
 
Mbona mimi nilikuwa sipigwi....Mzee hajawahi Bi'mkubwa kafanya hivyo mara chache sana! Sio lazima!
 
Wanaume wapendeni wake zenu
wanawake wanabeba stress za ndoa/mahusiano wanamalizana na watoto.
Kuna mtu niliwahi mwambia hili, wanaume wanadhani kumnyanyasa mke na kumtukana au kumpiga anamkomesha mke tu, kumbe ile hali ya stress na masononeko mwanamke anahamishia hasira kwa watoto kwa kuwa hawezi kujirudishia kwa mumewe, matokeo yake wanaoathirika zaidi ni watoto
 
Mpaka naandika hapa nimeshaifanyia uchunguzi.

na Siku baba na mama wakiwa na amani hata mtoto akosee mama anakuwa very calm
 
Huwezi kumfanyia ubaya mwanao kisa mwanaume tu mnayeweza kuachana hata kesho;mnakosea!
 
Mpaka naandika hapa nimeshaifanyia uchunguzi.

na Siku baba na mama wakiwa na amani hata mtoto akosee mama anakuwa very calm
Kabisa na bahati mbaya wanaume hawaelewi hili, laiti wangejua basi kipindi cha makuzi ya watoto hata kama wake zao wanakosea "makosa yanayovumilika" ni heri kuyapuuzia au kuelezana kiheshima ili tu kulinda ukuaji wa watoto
 
Mpaka naandika hapa nimeshaifanyia uchunguzi.

na Siku baba na mama wakiwa na amani hata mtoto akosee mama anakuwa very calm
Mwanaume akikufanyia mbaya usiku basi hasira zote kwa mtoto kukicha! Dah
 
Back
Top Bottom