Luv
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 2,740
- 6,114
Huwezi kuelewa mkuu, hakuna mama anapenda iwe hivyo, ila inatokea tu, watoto wanageuka ndo wanyonge wake kwa kuwa anawamuduHuwezi kumfanyia ubaya mwanao kisa mwanaume tu mnayeweza kuachana hata kesho;mnakosea!
Na mara nyingi unakuta wanawake wa hivi wakishawaadhibu watoto, wanaanza kujishangaa na kujutia walichokifanya
Japo pia kuna wanaume nao wanapiga mno watoto wakidhani ndio ubaba