Tusipende kupiga watoto wetu

Tusipende kupiga watoto wetu

Viboko muhimu kulingana na kosa. Mama yangu miaka iuo alishanipiga na ukuni hadi nikazimia.
Pumzika kwa amani mama.
 
Kiswahili hiki du hatari kupiga hakufundishi Bali humfanya afanye kwa ujuzi zaidi ili usimgundue

Mtoto usimpige Bali mchape
 
Shukran kwa kunikumbusha mzee
MITHALI. 23:13 SUV
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
MITHALI. 22:15 SUV
Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.
NB: UWE NA KIASI NA USIMPIGE UKIWA NA HASIRA
 
Wenzetu mbona hawawapi hayo mapigo
Ndio maana maadili yao yapo china na yanazid kuharibika kila siku. Nasio kwamba awapendi kuwapa mapigo bali sheria na sela zao ndio zinawabana.

NB; mapigo waliizungumzia kwenye bibliani hadhabu hasa bakola. Kama hadhabu sio kukomoa
 
Kumpiga mtoto ni ujuha
Kwahiyo unapinga kipigo kilichozidi mtoto tu au unapinga kipigo kwa ujumla?...
kwamba wapigwe kwa kiwango chake au wasipigwe kabisa?

Kama jibu ni la pili nakupa pole sana kwani huna tofauti na aliyeenda kupambania suluba ziondolewe gerezani na jeshini matokeo yake... niishie hapo kwanza
 
Sio lazima achapwe
Mtoto lazima achapwe lakini kulingana na umri wake,kuna mda mtoto anajua kabisa anachofanya sio sahihi na ukimkemea anaacha ila akiona humwangalii anarudia tena, ukimchapa anajifunza hawezi kurudia.
 
Back
Top Bottom