Tusipende kupiga watoto wetu

Tusipende kupiga watoto wetu

Mtoto lazima achapwe lakini kulingana na umri wake,kuna mda mtoto anajua kabisa anachofanya sio sahihi na ukimkemea anaacha ila akiona humwangalii anarudia tena, ukimchapa anajifunza hawezi kurudia.
Hivyo sawa ila wengine wanafanya tofauti inakuwa uonevu sasa.
 
Lazima umuoneshe kuwa kuna kitu kakosea na mzazi hapendi siku nyingine hawezi fanya anajua akifanya ni kosa hilo.
Unampa ile inayoendana na umri wake na kosa lenyewe. Sio unampiga kama mwizi.
Mimi mzee hakuwahi kunipiga hata kibao nami nitafanya hivyohivyo. Yote nitamuachia mama yao.
 
Mimi nachapa, tena vizuri tu na siwezi kupingana na vitabu vitakatifu kuhusu kutumia fimbo kwa wanangu.
 
Unampa ile inayoendana na umri wake na kosa lenyewe. Sio unampiga kama mwizi.
Mimi mzee hakuwahi kunipiga hata kibao nami nitafanya hivyohivyo. Yote nitamuachia mama yao.
Dah aisee mm nimepigwa sana ni muhimu kinoma saiz tu ndio nimebadilika kidogo nilishapelekwa sana polisi kwenda kula viboko na kukaa huko huko.
 
Nimekuwa kwenye familia ya single parent ni mom alikuwa akinipeleka mapaka leo watu hata hawaamini kama ni mm nimebadilika maana nilikuwa nachafua yani mwili wangu unalalama sijui kama zitafutika.
Itakuwa ulimsumbua sana aisee😀😀🤣
 
Itakuwa ulimsumbua sana aisee😀😀🤣
Nilikuwa ninja kuanzia shule mpaka home kwa matukio hakuna asienijua alafu shule nilikuwa sina hata rafiki kutokana na mabalaa kuna time yani kila siku nakula fimbo kuanzia shule mpaka Om ikafika time kufanya tukio nilikuwa siogopi maana najua nitapigwa alafu nitaendelea na mambo yangu that time nimeshakuwa sugu sasa.
 
Back
Top Bottom