Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,163
- 10,415
Game gani wachezaji wanatembea hawakunji goti 😂Rudini dls kenge maji 🤣
Game gani wachezaji wanatembea hawakunji goti 😂Rudini dls kenge maji 🤣
Hahaha hilo nalo nenoNasikia watu wanajenga kwa tabu sana, ni hiari yao kupandisha Kodi.
Kikubwa goli zina onekana 😂😂Game gani wachezaji wanatembea hawakunji goti 😂
Halafu asiye na nyumba ni kenge ehh?Mwenye nyumba ni KOBE
Halileti mvuto 😂Kikubwa goli zina onekana 😂😂
Naona anagawa likes kimya kimya.We Midekoo kulala sio dhambi 🦅
Ndio maana nili baki kwenye ps kudadadeki 😂Halileti mvuto 😂
Wanaocheza DLS wanaroho ngumu sana 😂Ndio maana nili baki kwenye ps kudadadeki 😂
wana weza kula ugali na nyongo ya mamba 🦅Wanaocheza DLS wanaroho ngumu sana 😂
Lile game nikicheza kufikisha pasi 5+ ni mtihani.wana weza kula ugali na nyongo ya mamba 🦅
Kwanini?Lile game nikicheza kufikisha pasi 5+ ni mtihani.
Naja🏃Suruali jinzi, timberland na nyingine tuta nunua tu
taratibu usi amshe majiraniNaja🏃
Majirani hawapotaratibu usi amshe majirani
Haya pita kama ulivyo zaliwa Sasa, kwani una muogopa nani.Majirani hawapo
Nimelisahau mkuu kitambo sijalicheza halafu nishazoea touch button za eFootball.Kwanini?