SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,814
- 9,034
WApi nije nikachukue vitatuMbeya kuna kiwanja mpaka cha laki na nusu ,kikubwa usijioneshe una maisha mazuri .
WApi nije nikachukue vitatuMbeya kuna kiwanja mpaka cha laki na nusu ,kikubwa usijioneshe una maisha mazuri .
Hahahahah,nguo kama zipi🤣Usi Waze, hata nguo uta vaa zangu
Basi nikopeshe kaka😂🦅Mkuu ile karaha ambayo siipendi nikiwa nadaiwa hivyo hivyo sipendi kumkarahisha mtu.
Pia ikiwa hiyo pesa naweza iingiza tena kwa muda mfupi basi naipotezea.
Na kama nakudai pesa ndefu halafu sikuelewi basi nakupotezea wewe na hiyo pesa 😂
Suruali jinzi, timberland na nyingine tuta nunua tuHahahahah,nguo kama zipi🤣
Nina coins 1620 kwenye account ya eFootball, nikupatie hiyo? 😂Basi nikopeshe kaka😂🦅
Kama uko serious zama PM yangu ,andika mimi ni wako nitajua kuwa ni wewe nitakujibu AsapWApi nije nikachukue vitatu
Wengine kutongoza kwa kusema i love you uwa tunaona aibu kaka .Mkuu, tupeane huu mchongo mkuu niandae tu nauli ya laki mbili kwenda na kurudi ili nikanunue hicho kiwanja kinachoshindwa bei na nauli
Ushachukua na za leo au bado🤣🤣
Ndiyo nimepita nazo mkuu, ila hawa watu wenye badge za dvn 3 wanakamia sana aisee 😂Ushachukua na za leo au bado🤣🤣
What 😂 🤣Kama uko serious zama PM yangu ,andika mimi ni wako nitajua kuwa ni wewe nitakujibu Asap
Baridi, ili nisajili chap 😂
Hizo coins ukizipeleka kwenye usajili hurambi kitu, zinaenda zote na hakuna card ya maana utapata 😂Baridi, ili nisajili chap 😂
Rudini dls kenge maji 🤣Hizo coins ukizipeleka kwenye usajili hurambi kitu, zinaenda zote na hakuna card ya maana utapata 😂
HahahaKikubwa hatulali nje, humohumo tunamolala ndo nyumba zetu😄 ukija ntakwambia karibu nyumbani kwanguna sio karibu nilipopanga
Weeeh hapana ila kama upo serious ni pmKama uko serious zama PM yangu ,andika mimi ni wako nitajua kuwa ni wewe nitakujibu Asap
kwa kweli Mungu awasaidie, hakuna kitu cha raha kama kukaa nyumbani kwako, haudaiwi kodi, unatumia umeme,maji na chochote upendavyo hata ikija garama kubwa haiumi kwa sababu unaona ni garama ya nyumbani kwako.Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura.
Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba ,
maana humu jf kila niki zunguka kila mtu ana nyumba au mjengo mkali na wa maana.
tuki ijua idadi yetu, tuna weza tuka ungana kuweka mgomo ili watu punguzie Kodi, au tumchangie mmoja wetu apate wa kwake 😂😂🦅.
I mean no malice to nobody
View attachment 3420444
Tuseme inshallahkwa kweli Mungu awasaidie, hakuna kitu cha raha kama kukaa nyumbani kwako, haudaiwi kodi, unatumia umeme,maji na chochote upendavyo hata ikija garama kubwa haiumi kwa sababu unaona ni garama ya nyumbani kwako.