Tusio na nyumba tukutane hapa

Tusio na nyumba tukutane hapa

Je una nyumba?

  • Ndio nina nyumba

    Votes: 23 29.1%
  • Sina nyumba

    Votes: 27 34.2%
  • Kikubwa uzima

    Votes: 29 36.7%

  • Total voters
    79
1. Kobe awe na nyumba, konokono awe na nyumba, na mimi niwe na nyumba ya nini?
2. Hata nisipojenga bado nitapelekwa kwenye nyumba yangu ya milele
3. Hakujenga baba wakati cement ni senti 50, nije kuhangaika kujenga mie cement elfu 17 na mia 5
4. Hakujenga baba kariakoo kiwanja elfu 5, nije kujenga mimi kiwanja kigamboni milioni 100!? 😂🤣

Nipo hapa naandika nikiwa kwenye kibanda changu cha urithi cha nyasi..
Zingatia neno URITHI.
 
wewe ndio kobisi mwenyewe 😂 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom